nimebadika juzi
Senior Member
- May 29, 2015
- 183
- 29
we jamaa mbn huelewi umemsikiliza vizur au ni mahaba hata penye ubovu?unakurupuka kama serikal yakoTatizo siyo gharama amesema hivyo ili wavivu msilalamike lkn sababu hasa ni kwamba huu ni muda wa kazi na siyo wa kuangalia luninga, hivyo fanyeni kazi na Bunge mtaliona jioni baada ya kazi au wkend!
Wazime mitambo ya television muda wa kazi. Maana sioni mantiki hapo. Kuhusu mtu kufanya kazi hilo ni suala la kiutawala. Kuna wasimamizi kwenye maofisiKuna hoja ya msingi hapa zaidi ya watu kufanya kazi muda kazi na siyo kuangalia Bunge? Kama Serikali ingekataza kuonyeshwa Bunge kabisa hapo sawa lkn litaonyeshwa lote jioni baada ya kazi, tatizo liko wapi hapo?
Anyway, sio kosa lenu. Mmezoea kusifia Kila kitu hata kama ni utumbo. Kwa ushauri tu. Wasirushe hata kipindi cha maswali na majibu maana wanawafanya watu wasifanye kazi waangalie bunge
Hii ya jioni subiri kuangalia bunge ambalo watakuwa wameli edit kutokana na muongozo kutoka kwa waziri wa habari Nape, usidhani utashuhudia cheche za kina LISU, ZITTO, na wabunge wa upinzani wanapo ibana serikali, tuta nangalia ki makapi tu.Bora na jioni tuendelee kufatilia live. Wasitunyanyase kiasi hicho
Wananchi wengi ni wenye kipato cha chini hawana uwezo wa kulipia hiyo Azam, mimi nahisi ni serikali kutaka kuchagua nini waonyeshwe wananchi na nini wasionyeshwe katika yanayotokea bungeni.Tutaangalia azam
Wazime mitambo ya television muda wa kazi. Maana sioni mantiki hapo. Kuhusu mtu kufanya kazi hilo ni suala la kiutawala. Kuna wasimamizi kwenye maofisi
Mambo ya bunge live ni kuleta uchochezi tu,ndo maana hata mataifa makubwa yenye democracy kubwa kuliko sisi hakuna mambo ya bunge live,
jk alitudekeza sana,,sasa hivi NI KAZI TU
Yaani mm naona hata kumpa haki ya ndoa mkeo unasubiri magu Aseme. Maana sioni tija ya hapa kazi tu na kutoonyesha bunge. Yaani unanithibitishia unyumbu wako
Huoni tatizo? Kuna kitu kinaitwa KUCHUJWA KWA HABARI.Kuna hoja ya msingi hapa zaidi ya watu kufanya kazi muda kazi na siyo kuangalia Bunge? Kama Serikali ingekataza kuonyeshwa Bunge kabisa hapo sawa lkn litaonyeshwa lote jioni baada ya kazi, tatizo liko wapi hapo?
Hzo bilioni nne ni posho au nini? Yan techonlogia ilivyokubwa hv vikao vya bunge kwa mwaka mipesa yote hyo. Hapo pana jipu Hapo sio bureKwamba gharama ta kurusha live ni kubwa, hivyo watarekodi na kurushwa kuanzia saa nne usiku. Live itakuwa asubuhi tu kipindi cha maswali na majibu. Na Star TV nao...
Hata akiwa mbovu vipi lakini hawezi kusababisha Kikwete akumbukwe.Serekali ya Magufuli inaweza kuwa mbovu kuliko yoyote uliyowahi kuiona.. Kikwete baba tutakukumbuka kwa uhuru wa habali..
Sasa hizo Gharama anazosema Nappe 4bil za wapi? Ndio hizo zitalipwa kwa kodi zetu yeye(Nappe) asiwe na wasiwasi maaana serikali ina hela nyingi sana ndio maana tumepigwa bil 129 na NIDA.TBC sio Shirika la Biashara.
Linaendeshwa kwa kodi zetu....
Waziri wako kasema kubana matumizi, we unasema watu wafanye kazi, watanzania wamsikilize nani?.Kama hilo linawezekana yote heri tu ili muda wa kazi utumike kufanya kazi na jioni mkirusdi nyumbani mnaweza kuangalia Bunge lenu tukufu!
Tuache kulala na wake zetu usiku tuangalie bunge sa tano. Bora wasirushe kabisa tu.Katika kauli za Mawaziri, Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye, ametangaza kwamba, Kuanzia tarehe 26 Januari mwaka 2016, TBC1 haitaonesha tena Mikutano ya bunge live kutokana na gharama za kuonesha live kufikia bilioni nne kwa mwaka.
Badala yake TBC1 watarekodi na kuonesha katika kipindi maalum usiku kuanzia saa nne hadi saa tano.
Hii itanyima wanchi fursa ya kuona kinachoendelea Bungeni.
Wataangalia popo na bundi...mimi nitakua nimelala muda huo.Nape:
Anatangaza kuwa TBC
itakuwa inatangaza baadhi
ya matukio ya Bunge
Lengo ni kubana
matumizi..
Anasema gharama za kuendesha Bunge zimefikia 4Bln kwa Mwaka.
Anasema kutakuwa na
kipindi maalum kitakachokuwa kinarushwa usiku kuanzia saa 4 hadi 5 Usiku.
.