TBL wenzetu mmesoma shule zipi!

TBL wenzetu mmesoma shule zipi!

Sawa,
Kuna nchi wanaandikaga hivyo. Lakini sisi sio katika hizo nchi.
Hajui tuko nchi ipi ndiyo sababu swali langu lilikuwa la kutaka kujua wamesoma nchi gani,

Nimemalizia kwa mkato badala ya nukta ili niendane na dunia ya kusadikika.
 
Hajui tuko nchi ipi ndiyo sababu swali langu lilikuwa la kutaka kujua wamesoma nchi gani,

Nimemalizia kwa mkato badala ya nukta ili niendane na dunia ya kusadikika.
Uzi wako ungefaa kama ungeandika kuwasihi wabadilishe kwa maana watz wengi hawajui kama comma na nukta zinatumika interchangeably kwenye tarakimu. Lakini kwa uwasilishaji wako unaakisi hukua unajua mkuu.
Si dhambi kutojua. Kikawaida huwezi kujua kila kitu. Lakini vema zaidi ukalitafiti jambo wewe mwenyewe kabla hujaamua kuweka bandiko humu. Ni busara rahisi ya kisomi.
 
Nimezunguka Tanzania yote sijawahi kuta bia inaitwa Castle Light, ila Castle Lite naijua..
 
TBL tangazo lenu la Castle Light linasema "brewed at -2,9°c"! Sijui hii ni nini, TBL wenzetu mmesoma shule zipi? Mbona mnaifanya Tanzania ionekane ya watu wa kiwango cha chini kielimu, ondoeni hayo matangazo.
Ndio uhalisia wa elimu yetu!
 
TBL tangazo lenu la Castle Light linasema "brewed at -2,9°c"! Sijui hii ni nini, TBL wenzetu mmesoma shule zipi? Mbona mnaifanya Tanzania ionekane ya watu wa kiwango cha chini kielimu, ondoeni hayo matangazo.
we jamaa bwana,nilisoma hii post kabla haina comment yeyote,nilijua ni mambo ya sayansi unaongelea,kumbe mkato tu?
 
we jamaa bwana,nilisoma hii post kabla haina comment yeyote,nilijua ni mambo ya sayansi unaongelea,kumbe mkato tu?
"kumbe mkato tu"? Unawaona waliouweka walikuwa wendawazimu! Ukiambiwa andika insha kwenye mtihani kila kitu kinaangaliwa, ujuha wetu ndio umesababisha viongozi wa CCM wawadanganye watu eti kiingereza hakina faida, matokeo mnakaa mkitawaliwa na familia za viongozi ambao watoto wanajua lugha zote.
 
TBL tangazo lenu la Castle Light linasema "brewed at -2,9°c"! Sijui hii ni nini, TBL wenzetu mmesoma shule zipi? Mbona mnaifanya Tanzania ionekane ya watu wa kiwango cha chini kielimu, ondoeni hayo matangazo.
Mkuu hii bia ilianza kutengenezwa Afrika Kusini na nilinywa mwaka 2004, Tanzania iliingia sokoni rasmi 2006 mwishoni nadhani bado wanaandka kwa formula ya South.
 
Uzi wako ungefaa kama ungeandika kuwasihi wabadilishe kwa maana watz wengi hawajui kama comma na nukta zinatumika interchangeably kwenye tarakimu. Lakini kwa uwasilishaji wako unaakisi hukua unajua mkuu.
Si dhambi kutojua. Kikawaida huwezi kujua kila kitu. Lakini vema zaidi ukalitafiti jambo wewe mwenyewe kabla hujaamua kuweka bandiko humu. Ni busara rahisi ya kisomi.
Mfano kila mahali ulipoweka . ungeweka , andiko lingekuwa na mpangilio uleule kwa kuwa , ni sawa na .? Au ni kwenye hesabu/sayansi tu ndio vinakuwa na maana sawa?
 
hii biashara ya kutamanishana bia mida hii umeitoa wapi,
nilijua kuna promoshen sehem inaendelea!
 
Africa
There is no official standard used across Africa, but we know that some countries like Zimbabwe, South Africa, and Cameroon use the decimal comma. Others such as Botswana, Kenya, and Nigeria, use decimal points.

Kama hujui mkuu sema ueleweshwe! Swali langu kuu wewe unajua nini juu ya brewing ?
Sasa nitakueleza, wanaposema brewed at -2.9•C wanamaanisha cast out temperature from the whirlpool pale ambapo yeast inapokuwa added. Then fermentation profile follows and finally maturation.
Safi umefafanua vyema kama professor..sema umeweka na kauhaya ndani lakin sio shida.
 
Mkato na fullstop ni vitu viwili tofauti sana mathlani 1.0 na 1,0 sijui dunia ya wapi watakuambia ni kitu kimoja kama inavyodai! Sipendi mabishano ya hovyo, wenzako wamekosea wewe unadai ndio utaalamu wa mapishi ya pombe!
Hiyo coma na nukta sio tatizo kijana.
Kuna nchi mkato ni nukta na nukta ni mkato tofauti kabisa na sisi.
 
Back
Top Bottom