Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #21
Now you are talking.Sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now you are talking.Sawa.
, = .TBL tangazo lenu la Castle Light linasema "brewed at -2,9°c"! Sijui hii ni nini, TBL wenzetu mmesoma shule zipi? Mbona mnaifanya Tanzania ionekane ya watu wa kiwango cha chini kielimu, ondoeni hayo matangazo.
2.9 c
Kuna nchi ukiandika 2,9 hiyo comma inawakilisha desimali
Shida ni hii coma? Coma (,)nchi nyingi tu inawakilisha nukta (.). Hivyo ukitaka kuadika mbili poit mbili uaadika 2,2.
Sawa,Inakuchanganya hoyo comma? Get exposed to the world, utaondoa vikanuni vya darasani.
Hajui tuko nchi ipi ndiyo sababu swali langu lilikuwa la kutaka kujua wamesoma nchi gani,Sawa,
Kuna nchi wanaandikaga hivyo. Lakini sisi sio katika hizo nchi.
Upo sahihi kabisa mkuu2.9 c
Kuna nchi ukiandika 2,9 hiyo comma inawakilisha desimali
Jamaa bado mbishi 😂 sio mdau wa namba angejua hayoInakuchanganya hoyo comma? Get exposed to the world, utaondoa vikanuni vya darasani.
Kinachomsumbua ni hiyo negative hapo nyuma,madai yake process ya kutengeneza pombe haiwezekani kuwa na joto kiasi hichoJamaa bado mbishi 😂 sio mdau wa namba angejua hayo
Uzi wako ungefaa kama ungeandika kuwasihi wabadilishe kwa maana watz wengi hawajui kama comma na nukta zinatumika interchangeably kwenye tarakimu. Lakini kwa uwasilishaji wako unaakisi hukua unajua mkuu.Hajui tuko nchi ipi ndiyo sababu swali langu lilikuwa la kutaka kujua wamesoma nchi gani,
Nimemalizia kwa mkato badala ya nukta ili niendane na dunia ya kusadikika.
Ndio uhalisia wa elimu yetu!TBL tangazo lenu la Castle Light linasema "brewed at -2,9°c"! Sijui hii ni nini, TBL wenzetu mmesoma shule zipi? Mbona mnaifanya Tanzania ionekane ya watu wa kiwango cha chini kielimu, ondoeni hayo matangazo.
Tz ni mojawapo?!!2.9 c
Kuna nchi ukiandika 2,9 hiyo comma inawakilisha desimali
Kwamba wewe ndio ulihisi una macho peke yako?dah, najua mimi ndio niliona hii kitu kumbe kuna watu wamekiona.
we jamaa bwana,nilisoma hii post kabla haina comment yeyote,nilijua ni mambo ya sayansi unaongelea,kumbe mkato tu?TBL tangazo lenu la Castle Light linasema "brewed at -2,9°c"! Sijui hii ni nini, TBL wenzetu mmesoma shule zipi? Mbona mnaifanya Tanzania ionekane ya watu wa kiwango cha chini kielimu, ondoeni hayo matangazo.
we jamaa bwana,nilisoma hii post kabla haina comment yeyote,nilijua ni mambo ya sayansi unaongelea,kumbe mkato tu?
"kumbe mkato tu"? Unawaona waliouweka walikuwa wendawazimu! Ukiambiwa andika insha kwenye mtihani kila kitu kinaangaliwa, ujuha wetu ndio umesababisha viongozi wa CCM wawadanganye watu eti kiingereza hakina faida, matokeo mnakaa mkitawaliwa na familia za viongozi ambao watoto wanajua lugha zote.
Mkuu hii bia ilianza kutengenezwa Afrika Kusini na nilinywa mwaka 2004, Tanzania iliingia sokoni rasmi 2006 mwishoni nadhani bado wanaandka kwa formula ya South.TBL tangazo lenu la Castle Light linasema "brewed at -2,9°c"! Sijui hii ni nini, TBL wenzetu mmesoma shule zipi? Mbona mnaifanya Tanzania ionekane ya watu wa kiwango cha chini kielimu, ondoeni hayo matangazo.
Mfano kila mahali ulipoweka . ungeweka , andiko lingekuwa na mpangilio uleule kwa kuwa , ni sawa na .? Au ni kwenye hesabu/sayansi tu ndio vinakuwa na maana sawa?Uzi wako ungefaa kama ungeandika kuwasihi wabadilishe kwa maana watz wengi hawajui kama comma na nukta zinatumika interchangeably kwenye tarakimu. Lakini kwa uwasilishaji wako unaakisi hukua unajua mkuu.
Si dhambi kutojua. Kikawaida huwezi kujua kila kitu. Lakini vema zaidi ukalitafiti jambo wewe mwenyewe kabla hujaamua kuweka bandiko humu. Ni busara rahisi ya kisomi.
Safi umefafanua vyema kama professor..sema umeweka na kauhaya ndani lakin sio shida.Kama hujui mkuu sema ueleweshwe! Swali langu kuu wewe unajua nini juu ya brewing ?
Sasa nitakueleza, wanaposema brewed at -2.9•C wanamaanisha cast out temperature from the whirlpool pale ambapo yeast inapokuwa added. Then fermentation profile follows and finally maturation.
Hiyo coma na nukta sio tatizo kijana.Mkato na fullstop ni vitu viwili tofauti sana mathlani 1.0 na 1,0 sijui dunia ya wapi watakuambia ni kitu kimoja kama inavyodai! Sipendi mabishano ya hovyo, wenzako wamekosea wewe unadai ndio utaalamu wa mapishi ya pombe!