TBS bila rushwa gari lako halitoki bandarini

Ukirudi wa zamani Ni dilli ya mkurugenzi.
Mnakumbuka Kuna mkurugenzi TBS alipiga hii hela ya ukaguzi mpaka akanyea debe gesti ya serekali miaka minne.
tamaa inaharibu professional
 
haya ni Mambo ya ovyo kabisa utakaguaje mzigo ushafika nyumbani? nenda huko huko sokoni kakague
 
Acheni kulialia...hizo rushwa ndio zinaongeza mzunguko wa fedha mtaani! Serikali ya awamu ya sita imefungua nchi, mwendazake aliharibu uchumi wetu, acha kazi iendelee ati!
 
Gharama za ukaguzi na hiyo rushwa inafika bei gani? ili tujipange kuwachachafya.....lakini hili tulishalisema ukaguzi ufanyike huko huko gari iliponunuliwa kabla ya kusafirishwa kuja kwa mnunuzi, kama ilivyokuwa awali. Mbona ipo logical kabisa kwamba huwezi kununua nyanya sokoni ukaja kuzikagua nyumbani? hii ni kuwaingiza waagizaji hasara endapo hayo magari yatasafirishwa yakiwa mabovu huku muuzaji akiwa ameshalipwa pesa......
 
Nchi hii ukianzishwa utaratibu fulani basi ushatengeneza mwanya wa watu kupiga pesa

Ova
Imagine mtu anazuia gari isitoke kisa wishbone bush imekatika! Halafu ni mtaalam huyo. Anazuia hivyo akijua bush ya gari hio unaweza usiipate. Nafikiri unajua nini kitafuata
 
Nilivosikia kuna ukaguzi tena wa magari uku kwetu nakajua kitakuwa kilio kitakatafu yani nilichojiuliza kwa maana hatuwaamini wa Japan baada ya inspection tunabishana na waliotengeneza ilo gari? Yani aliyetengeneza gari anakwambia gari liko sawa, wewe ambaye ata tairi huwezi tengeneza unambishia? Gaddamit!!

STIFF NECKED FOOLS..
 
Acheni kulialia...hizo rushwa ndio zinaongeza mzunguko wa fedha mtaani! Serikali ya awamu ya sita imefungua nchi, mwendazake aliharibu uchumi wetu, acha kazi iendelee ati!
We msukule wa mwendakuzimu hii sheria alitunga babu yako dikiteta acha uzwazwa.
 

Yan apo pia gharama kua za muagizaji katika kutengeneza na sio za wakala wala kampuni husika Yan Sbt wala be forward kwa kweli tutengemee magar mabovu....

Lkn gharama za matengenezo zingekua kwa maagent wataleta gar za maana kwa kweli serikali iangalie hili kwa jicho pana
 
Serikali ingeacha kukagua,iridhike na kaguzi zinazofanywa na makampuni ya kimataifa na certificate zinatoa.

Sanasana wawasiliane na kampuni inayokagua gari zinazoingizwa Tanzania wawe na mgao wao.
Vinginevyo ni wizi na usumbufu kwa waagizaji
 
Kile kitengo wangewapa NIT wenye ujuzi wao kuhusu magari wawasaidie kazi
Ni ushauri tu mkipenda chukueni

Kaka hayakustahili kukaguliwa uku ebu fikiria likikutwa bovu gharama ni kwa muagizaji sasa apo kwa inchi zetu za rushwa na ujinga gar itakosa dosari kweli?
 

[emoji1545]
 

Hizi ndiyo katika zile biashara haramu zinazofadhiliwa na mamlaka. Zingine ziko hapa:


Kwa mwendo huu PCCB wana kazi gani kama si sehemu ya wizi wa wazi huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…