TBS bila rushwa gari lako halitoki bandarini

kwa nn utoe rushwa?!
toa taarifa haraka TAKUKURU akamatwe mara mmoja.
mwananchi kamwe usikubali kutoa rushwa, ukiona kuna dalili ya kuombwa rushwa usipoteze muda toa taarifa haraka.
tusiishie tu kulalamika kwenye mitandao badala ya kutoa taarifa ili waombaji rushwa wakamatwe.
 
Alafu unakuta anaetoa Dosari Magari kaanza kuyaona vizuri na kuyapanda ukubwani alipokuja Chuo UDSM.
 
Kwa nini kesi ya Ngedere nipeleke kwa Tumbili?Kutoa taarifa takukuru ni sawa na kupeleka kesi ya Ngedere kwa Tumbili.
 
Kwa nini kesi ya Ngedere nipeleke kwa Tumbili?Kutoa taarifa takukuru ni sawa na kupeleka kesi ya Ngedere kwa Tumbili.
ukipeleka taarifa ya ukweli sio ya kumsingizia mtu au kumchafua basi ujue hatua zitachukuliwa mara moja.
ila usitoe rushwa halafu kisha baadae ndio unakuja kutoa taarifa, hapo na wewe utakuwa umetenda kosa la kutoa rushwa.
kinacho takiwa ni wewe ukiona umeombwa tushwa nenda ktk ofisi za takukuru ali waweke mbinu za kumkamata muombaji.
 
Hukuelewa wala kujibu nilichoandika!
 
Hivi takukuru ina fanya aje kazi? Ni mpaka waelekezwe waende sehemu? Wajiongeze na wawepo kila idara kama kweli kuna nia ya dhati ya kupinga rushwa.
 
Hivi takukuru ina fanya aje kazi? Ni mpaka waelekezwe waende sehemu? Wajiongeze na wawepo kila idara kama kweli kuna nia ya dhati ya kupinga rushwa.
Hawa takakuku hawako serious aisee, yaani wanategemea kupelekewa tuhuma za rushwa bila wenyewe kuwa proactive kuchunguza mazingira ya rushwa na kuwatia hatiani wale wanaojihusisha na rushwa.....sasa nilitegemea takukuru wawe wameshabaini rushwa kwenye ukaguzi wa magari kabla hata ya watu kuleta haya malalamiko mitandaoni, hovyo sana.
 
Kuna watu wana laana kabisa

Halafu hao hao waomba rushwa wakiugiliwa, wanalia kabisa wapewe priority na heshima kwasababu ni watumishi wa umma

There is a need for government to privatise these agencies na kuzifinya kiprivate sector kabisa

Waone dhahma ya wanayofanya
 
Mjini mipango. Miaka 60 toka tupate Uhuru
 
Kama huwez piga mbizi
 
Imagine mtu anazuia gari isitoke kisa wishbone bush imekatika! Halafu ni mtaalam huyo. Anazuia hivyo akijua bush ya gari hio unaweza usiipate. Nafikiri unajua nini kitafuata
Maumivu

Ova
 
Ni bora inspection irudishwe huko huko Japan [emoji627]
 
Haya na mengine tutalalamika sana hapa, msisahau tuko kenye zama mpya zama za upigaji. zama za matamko bila matendo. tumerudi kule awamu ya nne.

nawe ukiweza kula rushwa eneo lako

#AWAMU YA 6 KAMA YA 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…