TBS inakanusha kuwa ilipima bidhaa za dawa za meno na kutoa taarifa kuwa zina vichocheo vya kibiolojia

Na wewe isijekua ndio nyie TBS kwa nini wasiwape madaftari na peni mswaki na dawa kwa nini?
 
ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE a.k.a JIZI LA MAKONTENA, ashtakiwe mara moja kwa kuleta taharuki katika jamii na kusababisha hasara kwenye viwanda vya kutengeneza dawa za meno na pafyumu.

Ahukumiwe chap chap ili siku nyingine ajifunze kuepuka MBAMBAMBA na UBABAISHAJI wa hadithi za kusadikika zilizojengwa juu ya CONSPIRACY THEORIES.
 
At least, he stood up and said something.
Ni sawa lakini walau angekuja na ushahidi uliokamilika.

Kwani kwa hii taarifa iliyotolewa na tbs inaonyesha ni kama alikurupuka.
 
Kama Kuna mtu aliamiaini kile kihoja Cha Mwakyembe na yule mwandishi kanjanja huyo mtu ni zwazwa wa kiwango cha PhD.

Mtu na akili yako unaamini a single dosage ya toothpaste na perfume itakufanya uwe shoga kweli?

We don't condone ushoga ila muwe mnatumia akili mnapojenga hoja zenu against ushoga otherwise mnaanika uzwazwa wenu hadharani Kila mtu aone mlivyo weupe kichwani.
 
Ni sawa lakini walau angekuja na ushahidi uliokamilika.

Kwani kwa hii taarifa iliyotolewa na tbs inaonyesha ni kama alikurupuka.
Kwa nchi zetu SI rahisi kwa mamlaka kama TBS kukubali udhaifu.
Yote kwa Yote alipaswa kuwa na proof in details kuondoa tuhuma hewa kwa TBS.
Mwisho, he is a hero wangapi wamesimama kupinga Ushoga? We should congratulate him on the other side of the coin.
 
Naona bwabwa umekasirika sana we endelea kufukunyuliwa utaonja joto ya jiwe
 
Sidhani kama kila kilichopo sokoni kimepitishwa na TBS. Unless tuanze kuishitaki TBS kwa vitu vilivyoko mtaani ambavyo hawajapitisha.
 
Juhudi yako kutetea mashoga wenzio tunaiona.
Hongera ,sijui mtazaa lini?
 
Zile digrii zake nne hazimuongezei, elimu, ujuzi wala busara sasa anatafuta pa kutokea
 
Watanzania hatuna umaskini wa kupewa dawa za meno au neti za mbu
 
Duuh! Haya ngoja tusubiri taarifa ya huo ufuatiliaji unaoendelea.

Japo mwisho wa siku nawaza sijui huyo Mwakyembe ataiweka wapi sura yake.
Mwana Yanga unaweza amini kabisa Colgate wakaharibu brand yao waliyoijenga kwa miaka 100?
 
Juhudi yako kutetea mashiga wenzio tunaiona.
Hongera ,sijui mtazaa lini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kimsingi hata sijaanza kutetea chochote.

Hapa bado namsimanga na kumfokea ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE a.k.a JIZI LA MAKONTENA.

Tukifika kwenye kutetea, tutajikita na hoja zingine.

Hoja za sasa ni za MASIMANGO kwanza.
 
Mbona madawa yapo mengi tu feki mitaani humo, lakini yanatumika tuhh kiholela,, sembuse na hizo spray n.k.

Zikipita njia za panya mtazikamataje kwani.
Boss soma tena alichokiadika, ni KWA sababu wamehusishwa kwamba wamezipima na wamesema vina vichocheo. sasa njia za panya zinafata nini?
 
Zile digrii zake nne hazimuongezei, elimu, ujuzi wala busara sasa anatafuta pa kutokea
Katumwa kueneza propaganda na kufanya SPINNING. Wacha tunate na BITI.

Habari ya CAG na KAMALA ndio inaishia hewani hivyo.

Sasa ni mwendo wa kumfokea ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…