Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Waongo wote, Mwakyembe na mwandishi wake kanjanja
Si walisema Mkemia Mkuu wa serikali ndo alithibitisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si walisema Mkemia Mkuu wa serikali ndo alithibitisha?
Na wewe isijekua ndio nyie TBS kwa nini wasiwape madaftari na peni mswaki na dawa kwa nini?ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE anazidi kuumbuka kwenye hii vita ya vinyesi.
ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE akiongozana na mpambe wake ALIYEJIKOBOA JUSO LAKE KAMA NDULELE, CATHERINE KAHABI, wameangukia pua na kuambulia patupu kwenye propaganda yao ya vinyesi.
Tunataka ZEE LA USHOGA MWAKYEMBE afunguliwe mashtaka ya kuitusi mamlaka ya TBS.
At least, he stood up and said something.Duuh! Haya ngoja tusubiri taarifa nzima.
Japo mwisho wa siku nawaza sijui huyo Mwakyembe ataiweka wapi sura yake.
Kanjanja aliyejikoboa uso kwa mkorogo na JIKI YA AFTATU.Waongo wote, Mwakyembe na mwandishi wake kanjanja
Ni sawa lakini walau angekuja na ushahidi uliokamilika.At least, he stood up and said something.
Kwa nchi zetu SI rahisi kwa mamlaka kama TBS kukubali udhaifu.Ni sawa lakini walau angekuja na ushahidi uliokamilika.
Kwani kwa hii taarifa iliyotolewa na tbs inaonyesha ni kama alikurupuka.
Naona bwabwa umekasirika sana we endelea kufukunyuliwa utaonja joto ya jiweZEE LA USHOGA MWAKIEMBE anazidi kuumbuka kwenye hii vita ya vinyesi.
ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE akiongozana na mpambe wake ALIYEJIKOBOA JUSO LAKE KAMA NDULELE, CATHERINE KAHABI, wameangukia pua na kuambulia patupu kwenye propaganda yao ya vinyesi.
Tunataka ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE afunguliwe mashtaka ya kuitusi mamlaka ya TBS.
Sidhani kama kila kilichopo sokoni kimepitishwa na TBS. Unless tuanze kuishitaki TBS kwa vitu vilivyoko mtaani ambavyo hawajapitisha.Kufuatia lile kongamano aliloshiriki Harrison Mwakyembe ambapo mmoja wa wazungumzaji alieleza uwepo wa dawa za meno na "body spray" zinazoongeza homoni za kike kwa wanaume. shirika la viwango Tanzania (TBS) limetoa tamko kukanusha madai hayo huku ikieleza inaendelea kufuatilia
JISOMEE HAPO CHINI
Dar es Salaam, 01 Aprili, 2023
"Hivi karibuni, kumekuwepo na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayoelezea uwepo wa dawa za meno zinazotolewa kama msaada katika baadhi ya shule hapa nchini zinazosadikika kuwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) tumepima na kuthibitisha zina viambata ambavyo ni vichocheo vya kibiolojia (hormones) vinavyoathiri watumiaji hasa watoto wa klume.
TBS inakanusha maelezo ya kwenye ujumbe wa maneno unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ilipima bidhaa hizo za dawa za meno na kutoa taarifa kuwa zina vichocheo hivyo vya kibiolojia.
Aidha, TBS baada ya kupata taarifa hiyo imefanya ukaguzi na uchunguzi wa awali katika bidhaa husika na kugundua hakuna uwepo wa vichocheo hivyo vya kibiolojia
Hata hivyo TBS inaendelea kufanya ufuatiliaji wa suala hili kwa kushirikiana na maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
TBS inawashukuru wananchi wote ambao wanaendelea kutoa ushirikiano kwani suala la udhibiti wa usalama na ubora wa bidhaa ni mtambuka (shared responsibility).
View attachment 2573100
Wanaomlaumu inawezekana wamo mtandao wa mashoga.Mwakyembe aungwe mkono dhidi ya mashoga
Juhudi yako kutetea mashoga wenzio tunaiona.ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE alikuwa anawapiga fiksi wafuasi wake ili ajizolee KIKI KWA PIKIPIKI.
Mamlaka halali ya serikali TBS imethibitisha bayana na dhahiri kwamba ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE ni MCHEZA FUTUHI aliyeangukia pua kwenye vita baridi ya vinyesi.
Zile digrii zake nne hazimuongezei, elimu, ujuzi wala busara sasa anatafuta pa kutokeaZEE LA USHOGA MWAKIEMBE alikuwa anawapiga fiksi wafuasi wake ili ajizolee KIKI KWA PIKIPIKI.
Mamlaka halali ya serikali TBS imethibitisha bayana na dhahiri kwamba ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE ni MCHEZA FUTUHI aliyeangukia pua kwenye vita baridi ya vinyesi.
Mwana Yanga unaweza amini kabisa Colgate wakaharibu brand yao waliyoijenga kwa miaka 100?Duuh! Haya ngoja tusubiri taarifa ya huo ufuatiliaji unaoendelea.
Japo mwisho wa siku nawaza sijui huyo Mwakyembe ataiweka wapi sura yake.
Walishwa vipi tegesha mtu aende kwa hao wazungu?Waongo wote, Mwakyembe na mwandishi wake kanjanja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Juhudi yako kutetea mashiga wenzio tunaiona.
Hongera ,sijui mtazaa lini?
Boss soma tena alichokiadika, ni KWA sababu wamehusishwa kwamba wamezipima na wamesema vina vichocheo. sasa njia za panya zinafata nini?Mbona madawa yapo mengi tu feki mitaani humo, lakini yanatumika tuhh kiholela,, sembuse na hizo spray n.k.
Zikipita njia za panya mtazikamataje kwani.
Katumwa kueneza propaganda na kufanya SPINNING. Wacha tunate na BITI.Zile digrii zake nne hazimuongezei, elimu, ujuzi wala busara sasa anatafuta pa kutokea