BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji1787]Msemaji alisema wazi kuwa walipeleka kwa mkemia mkuu sio TBS
Kati ya OFISI YA MKEMIA MKUU na TBS ni kipi kina OVERRIDE mwenzake?
Naangalia hapa sheria iliyounda ofisi ya mkemia mkuu wa serikali naona amepuyanga kwa kuvamia kazi za TBS na TFDA.
Tangu lini mkemia mkuu akapima pafyumu bwana! Ujinga mtupu!
Mkemia anatoa OPINION YA KIBAYOLOJIA based on mixing of chemicals [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ATI HOMONI INACHOCHEWA NA PAFYUMU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]