TBS inakanusha kuwa ilipima bidhaa za dawa za meno na kutoa taarifa kuwa zina vichocheo vya kibiolojia

TBS inakanusha kuwa ilipima bidhaa za dawa za meno na kutoa taarifa kuwa zina vichocheo vya kibiolojia

Msemaji alisema wazi kuwa walipeleka kwa mkemia mkuu sio TBS
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji1787]

Kati ya OFISI YA MKEMIA MKUU na TBS ni kipi kina OVERRIDE mwenzake?

Naangalia hapa sheria iliyounda ofisi ya mkemia mkuu wa serikali naona amepuyanga kwa kuvamia kazi za TBS na TFDA.

Tangu lini mkemia mkuu akapima pafyumu bwana! Ujinga mtupu!

Mkemia anatoa OPINION YA KIBAYOLOJIA based on mixing of chemicals [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ATI HOMONI INACHOCHEWA NA PAFYUMU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naam, kwenye video walisema kabisaaa kuwa ni Mkemia Mkuu alithibitisha.
Nadhani kuna kitu wanataka kuficha hapa!
Mkemia kapuyanga, anaonekana dhahiri amehitimu SENTI KAJAMBA.

Kwanza hajui mipaka ya kazi yake. Amevamia kazi ya TBS na TFDA kwa kujifanya mjuzi wa kupima whitedent.

Halafu anatoa OPINION YA KIBAYOLOJIA kwa kutumia msingi wa CHEMICAL MIXTURES za maabara! Akaibuka na habari za HOMONI juu kwa juu kama anacheza KATAFUNUA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa ili kujua kwamba kemikali fulani inachochea homoni ndani ya mwili, lazima kuwe na SCIENTIFIC STUDIES na CLINICAL TRIALS kujua usahihi wa hypothesis. Tena pawe na sampuli ya watu waliotumika katika majaribio.

Huyu mkemia uchwara aliyehitimu SENTI KAJAMBA akajifungia kwenye maabara yake kwa nusu saa akaibukia kwenye mikutano ya MCHEZA FUTUHI MWAKIEMBE. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni sawa lakini walau angekuja na ushahidi uliokamilika.

Kwani kwa hii taarifa iliyotolewa na tbs inaonyesha ni kama alikurupuka.
Tbs ndio wamekurupuka....
Nadhani wao walisema mkemia mkuu wa serikali.
Hawakutaja TBS, TBS wamejishtukia.
Haihitaji ushahidi wowote, kama unaishi kwenye jamii utakuwa umeona yanayoendelea.
Its not Natural, kuna external force.
Tukiendelea kuwa busy kumuattack mtu kwa tofauti zetu za kisiasa tutaendelea kuchelewa.
 
Mkemia kapuyanga, anaonekana dhahiri amehitimu SENTI KAJAMBA.

Kwanza hajui mipaka ya kazi yake. Amevamia kazi ya TBS kwa kujifanya mjuzi wa kupima whitedent.

Halafu anatoa OPINION YA KIBAYOLOJIA kwa kutumia msingi wa CHEMICAL MIXTURES za maabara! Akaibuka na habari za HOMONI juu kwa juu kama anacheza KATAFUNUA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa ili kujua kwamba kemikali fulani inachochea homoni ndani ya mwili, lazima kuwe na SCIENTIFIC STUDIES na CLINICAL TRIALS kujua usahihi wa hypothesis. Tena pawe na sampuli ya watu waliotumika katika majaribio.

Huyu mkemia uchwara aliyehitimu SENTI KAJAMBA akajifungia kwenye maabara yake kwa nusu saa akaibukia kwenye mikutano ya MCHEZA FUTUHI MWAKIEMBE. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Biatch.....
Hujui chochote kuhusu majukumu ya mkemia wala TBS, so kaaa kimya.
Hujui chochote kuhusu instrumental Analysis, wala Chemistry behind so kaa kimya.
 
Tbs ndio wamekurupuka....
Nadhani wao walisema mkemia mkuu wa serikali.
Hawakutaja TBS, TBS wamejishtukia.
Haihitaji ushahidi wowote, kama unaishi kwenye jamii utakuwa umeona yanayoendelea.
Its not Natural, kuna external force.
Tukiendelea kuwa busy kumuattack mtu kwa tofauti zetu za kisiasa tutaendelea kuchelewa.
Tofauti za kisiasa huwa unaziona kwenye kupinga vinyesi tu?

Sasa ni kwamba, huyu mkemia kapuyanga sana, na ni wazi anaonekana amehitimu hizi shule uchwara za SENTI KAJAMBA.

Kazi ya mkemia mkuu si kupima ubora ama usalama wa bidhaa. Hiyo ni kazi ya TFDA na TBS.

Huyu mkemia ana KIRANGA na KIHEREHERE. Na alivyo mburula anatoa OPINION YA KIBAYOLOJIA kwa kutumia LABORATORY TEST KITS.

ILI KUJUA KWAMBA CHEMICAL SAMPLE inatoa madhara fulani ndani ya mwili lazima pawe na SCIENTIFIC STUDY ama CLINICAL TRIAL inayohusisha wahusika wanaofanyiwa majaribio.

Huwezi tu kujifungia LABORATORY na TEST KITS ukaja na FINDING MUFILISI ya HOMON [emoji50]

Huyu mkemia wa SENTI KAJAMBA apimwe mikojo. Na afutwe kazi, anaonekana ni GOIGOI TU LINALOTAFUNA MSHAHARA WA BURE KWA JANJA JANJA na PROFESSIONAL INCOMPETENCE.
 
Biatch.....
Hujui chochote kuhusu majukumu ya mkemia wala TBS, so kaaa kimya.
Hujui chochote kuhusu instrumental Analysis, wala Chemistry behind so kaa kimya.
Wewe na huyo mkemia wako uchwara ni dhahiri mnaonekana ni MAGOIGOI yaliyohitimu SENTI KAJAMBA.

Sheria iliyounda ofisi ya mkemia mkuu imeorodhesha majukumu yake yote, na sijaona kama kupima whitedent ni moja ya majukumu alopewa. Hizo ni kazi mahususi za TBS na TFDA.

Huyu MKEMIA KANJANJA mwenye KIRANGA akaibuka na TEST KITS anawalaghai watanzania kwamba pafyumu inasababisha kuliwa kijambio.

Sijui kala maharage ya wapi huyu MKEMIA TAMBI TAMBI? Si ajabu ni mlevi wa konyagi huyu.
 
Tofauti za kisiasa huwa unaziona kwenye kupinga vinyesi tu?

Sasa ni kwamba, huyu mkemia kapuyanga sana, na ni wazi anaonekana amehitimu hizi shule uchwara za SENTI KAJAMBA.

Kazi ya mkemia mkuu si kupima ubora ama usalama wa bidhaa. Hiyo ni kazi ya TFDA na TBS.

Huyu mkemia ana KIRANGA na KIHEREHERE. Na alivyo mburula anatoa OPINION YA KIBAYOLOJIA kwa kutumia LABORATORY TEST KITS.

ILI KUJUA KWAMBA CHEMICAL SAMPLE inatoa madhara fulani ndani ya mwili lazima pawe na SCIENTIFIC STUDY ama CLINICAL TRIAL inayohusisha wahusika wanaofanyiwa majaribio.

Huwezi tu kujifungia LABORATORY na TEST KITS ukaja na FINDING MUFILISI ya HOMON [emoji50]

Huyu mkemia wa SENTI KAJAMBA apimwe mikojo. Na afutwe kazi, anaonekana ni GOIGOI TU LINALOTAFUNA MSHAHARA WA BURE KWA JANJA JANJA na PROFESSIONAL INCOMPETENCE.
Sielewi unazungumzia nini, unadhani kila mtu anafurahia Ujinga wako.
Nikuache.
 
Kwa Hali ya lawaida Hiví kweli Marekani wanahuruma sana na Meno ya Watoto Wetu kuliko Wazazi wao.

Yaani badala ya kutoa misaada ya matekta Kwa WAKULIMA wanatoa miswaki ? [emoji1787]

Yaani Badala ya kuwajengea walimu Nyumba na kuwapa Hata posho ya Mazingira magumu wanagawa dawa za Meno kukuza Elimu.
Ni upendo Gani huo Wa kuleteana miswaki Barala ya pesa watu tukanunue Madafatari na uniform. Yaani wanafunzi WOTE nchi nzima wakipewa tudawa twa mswaki twa wiki Moja basi watakua wamesafishwa Meno mpaka wamalize Shule. Basi wawape dawa hizo Kila Siku mpaka wamalize Shule.

Pumbavu kabisa . Yaani vidawa vinatolewa mara Moja kama Chanjo halafu Watu hawashtuki tu.

Wakati Wa Utumwa viongozi au machafu Wa Kiafrika walipewa Nguo za Kaniki na kuwauza ndugu zao Kama kuku.
Sasa watu wanapewa Mapesa Huko ULAYA wanaanzisha NGO za kuua kizazi cha mwafrika .

Hawa inabidi watu Wa Dini zote mpaka za asili watenge Siku Moja kitaifa isomwe dua ya kuwashughulikia WOTE waliokula pesa kutoka ULAYA na kutumika kueneza harakati za kueneza ushoga kwenye jamii.

Ipangwe Siku moja maalumu nchi nzima. Watu wapelekewe Taarifa Ile ya mwakiembe waelimishwe kwanza wajue mkakati uliopo chini ya kapeti Wa Baadhi ya watu kunufaika na mtandao Wa mashoga unaofadhiliwa na Wamarekani Kwa lengo la kuwaangamiza wanaume Afrika na kulifanya bara letu kuwa shamba la Bibi. Kisha isomwe Dua na tambiko Kwa ajjili ya kufuta kabisa kabisa Kila aliyehusika na kizazi chake kilichonufaika na ushetani huo. Ili waangamie wao kabla ya kuangamiza kizazi cha wengine wasio na hatia.
 
ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE a.k.a JIZI LA MAKONTENA, anazidi kuumbuka kwenye hii vita baridi ya vinyesi.

ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE akiongozana na mpambe wake ALIYEJIKOBOA JUSO LAKE KAMA NDULELE, CATHERINE KAHABI, wameangukia pua na kuambulia patupu kwenye propaganda yao ya vinyesi.

Tunataka ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE afunguliwe mashtaka ya kuitusi mamlaka ya TBS.
Nakushauri Uache ushoga. Kundu ni la kunyea na mnaiingiza serkali gharama za kutibu magonjwa ambata ya upanuzi huo.
 
Aisee! Acha tu iwe hivyo inavyokuwa ili tufe twende mbinguni kwa baba alipotuandalia makao. Mna hofu gani??
Sasa wanakanusha nini hao TBS kama hawajakamilisha vipimo ?? wakamilishe vipimo then wakanushe ....waache janja njanja .....
 
Endeleeni kushupalia ushahidi as usual. Kuna mambo hata hayaitaji ushahidi.😀

Mtu kakwapua billion 500 na yupo ofisini wahusika wapo ila mnataka ushahidi. Eti watupishe tu 😀😀😀
 
Back
Top Bottom