TBS inakanusha kuwa ilipima bidhaa za dawa za meno na kutoa taarifa kuwa zina vichocheo vya kibiolojia

Nawe ni miongoni mwa wanaofukuliwa mtaro?

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Lol..mashoga mpo wengi sana sana
Shoga
 
Hawa nao sijui akili zao zikoje? Hivi unaweza fanya uchunguzi wa awali alafu ukanushe kitu? Kwanino wasinhefanya uchunguzi kamili ndio waje na hii ngonjera?
 
Kama nakuona unavyotikisa matako
 
Ni mjinga pekee atayeiona vita hii ni ya kitoto

Yaani TBC waunge mkono hiyo vita? Yanaingia akilini kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

TBS wameunga juhudi na kuchomoa betri.

Vidampa wafuata upepo mtapata visukari vya tabu sana.

Mpaka hii vita ya vinyesi iishe lazima wote mtakuwa mmeshatafunwa vijambio.

MWAKIEMBE atafungwa jela miaka sabini kwa kudharau mamlaka halali ya serikali TBS.
 
Hao TBS ndio wameongeza sintofahamu. Wanadai sio kweli ila bado wanalifautilia hilo suala kwa mkemia mkuu. Aise maajabu.
 
GMO Acheni Kula mantiki. Mbegu za mazao ya asilo zimepotea hizi GMO siziamini kabisaa
 
Walisema mkemia mkuu nashangaa TBS wameibukia wapi

Msemaji alisema wazi kuwa walipeleka kwa mkemia mkuu sio TBS
Naam, kwenye video walisema kabisaaa kuwa ni Mkemia Mkuu alithibitisha.
Nadhani kuna kitu wanataka kuficha hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…