Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Mna huo uwezo?hiyo hela ya inspection kwa Tanzania tulikuwa tunaipoteza bure, kwa sababu inspection unalipia inafanyika nje kuna ubaya gani ikifanyika ndani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna huo uwezo?hiyo hela ya inspection kwa Tanzania tulikuwa tunaipoteza bure, kwa sababu inspection unalipia inafanyika nje kuna ubaya gani ikifanyika ndani?
Kwani fedha kiasi gani zinapotea kwenda nje? Umeona hiyo inspection tu? Mbona tunaagiza hadi toothpick toka china? Hatupotezi hela hapo?hiyo hela ya inspection kwa Tanzania tulikuwa tunaipoteza bure, kwa sababu inspection unalipia inafanyika nje kuna ubaya gani ikifanyika ndani?
Sasa wanakuja kukukamata kwenye storage ya TPA maana Japan gari ikienda inspection inachukua wiki 1, pia system ya TBS hadi ije kusoma debit inasumbua ipo slow sana..kwaio inakua ngumu kutoa gari ndani ya siku 7 za grace period ya TPAitapunguza hamtolipa hela ya kigeni ile laki 7 badala yake mtalipishwa maybe 1- 2 lakhs only
Tunakosea sana kama gari ikikaguliwa hapa maana tunaangalia tunaingiza nini badala ya kufikiri tunaletewa uchafu gani.Mi sioni cha ajabu hapa.
Kwa kuwa, hata sasa hivi ukiagiza gari kutoka Japan, lazima likaguliwe, na utalipia gharama ya kukaguliwa na kampuni ambayo imepata kibali kutoka Tanzania. Tena unalipa kwa $ kati $100 hadi $300 kama mdau alivyosema hapo juu.
Kilichobadilika ni kuwa badala ya kulipia na kukaguliwa Japan, sasa utalipia na kukaguliwa hapa.
Mi naona ni jambo nzuri. Kwanini tuiingizie hela ya ukaguzi Japan badala ya hiyo hela ibaki Tanzania?
Kwanini uangaike ku badilisha hela ya TSh kwenda $ kwa ajili ya kulipia ukaguzi Japan ambapo $ ni gharama badala ya kulipia kwa TSh?
Hamna msongamano wa clearance wala nini, ipo hivi unaclear na kulipa kodi zote za serikali, inabaki registration tuu, hapo kama gari ni bovu unakabidhiwa bila usajili ukalitengeneze vitu walivyoainisha, unapewa na muda wa kama mwezi mmoja hivi ukikamilisha matengenezo unapewa vibali vyakoSema itasababisha msongamano mkubwa na hivyo kuchelewesha clearance ya magari
Huu utaratibu mpya nadhani utakuwa mzuri zaidi na wenye faida kwa mteja na serikali. Kwanza, majukumu ya ukaguzi yatafanywa na watanzania kinyume na awali ambapo ajira hii ya ukaguzi ilikuwa kwa mawakala wa kigeni. Mbili, gharama za ukaguzi za hapa ndani ni nafuu kuliko zile zilizokuwa zinatozwa nje na mawakala. Gari likikutwa bovu, taratibu ni kama zilizokuwa zinafanywa na mawakala. TUKUMBUKE HII SIYO MARA YA KWANZA KUFANYA UKAGUZI WA MAGARI HAPA NCHINI. NA HAMNA CHANGAMOTO ZILIZOJITOKEZA KWA WALIOFANYA UKAGUZI BAADA YA GARI KUFIKA KATIKA BANDARI YETU. Huu ni uamuzi mzuri sana wa serikali ulikuja kwa kuchelewa.Nina mwanangu aliagiza gari hakukagua huko JP. Hatari na nusu.
Gari ikafika wakaenda kukagua NIT gharama knm. Hafu ukirudishwa ni gharama zako kutengeneza. Unaweza kuta ukatumia Million kimasihara hivi hivi.
Hela nyingin sana zinapotea, pamoja na ajira...kumbuka watakaofanya inspection huku Tanzania ni hawa vijana ambao tunalia kila siku hawana ajira, na watakaofanya ufundi wa kurekebisha magari mabovu ni watanzania na hela inabaki tanzaniaKwani fedha kiasi gani zinapotea kwenda nje? Umeona hiyo inspection tu? Mbona tunaagiza hadi toothpick toka china? Hatupotezi hela hapo?
Sioni faida kwa sababu njia ya mwanzo aina usumbufu. Sasa kama gari linahitaji marekebisho mfano kubadilisha parts, hizo parts zipo hapa nchini za kumwaga, pia kuna vifaa na wataalamu kama wa Japan ukiachilia Dubai?Sijajua nini faida ya hili jambo...
Wanatakiwa watangaze na vigezo (minimum standards) ili waagizaji wavizingatie ili kukwepa usumbufu.
Maana kila kosa anapewaga shetani maana kila mahali 😂😥😥😥😥😥😥
Shetani anasingiziwaga mengi sana 😂😂😂😂😂😂Maana kila kosa anapewaga shetani maana kila mahali 😂
Ila uwepo wake muhimu kweli ameokoa ndoa nyingi utasikia tukisema mke wangu tu kemea shetani ndio kanitoa kwenye mstari mnakemea mambo yanakaa sawa! Halikadhalika CCM wana bahati mbaya kweli kweli wame muuwa shetani wao Chadema sijuwi wata kemea nini kwa wana nchi pana kazi ni suala la muda itabidi watafute shetani wao wa ndani wa kukemea ambayo sio poa sanaShetani anasingiziwaga mengi sana 😂😂😂😂😂😂
Hahahaaa ila wanaume buana, yaani mnajuaga kutudanganya kama watoto wadogo... tunakemea halafu mkifika kwa huyo mnayetuaminisha ni shetani mnamwita malaika😃Ila uwepo wake muhimu kweli ameokoa ndoa nyingi utasikia tukisema mke wangu tu kemea shetani ndio kanitoa kwenye mstari mnakemea mambo yanakaa sawa! Halikadhalika CCM wana bahati mbaya kweli kweli wame muuwa shetani wao Chadema sijuwi wata kemea nini kwa wana nchi pana kazi ni suala la muda itabidi watafute shetani wao wa ndani wa kulemea ambayo sio poa sana
Wanaweza kuambia iyo gari ina tatizofundi25 hivi waliopewa notice kule Dubai na Japan walikua wameajiri watu gani? Vipi kuhusu gharama na ubora wa kazi waliyokua wanafanya?
Ngoja tuone wale wenye kuuza magari huko Japan watalifikiaje soko huku wakikidhi vigezo na taratibu bila kupata hasara na tuone process hapa inakuajeWanaweza kuambia iyo gari ina tatizo
Ukaikubali au ukaikataa ikabadilishwa au ika fanyiwa marekebisho ila sio mara zote!
Gari nyingi hazinaga matatizo! Sasa bahati mbaya gari ikifika hapa kuna matatizo mengi yatakuwa changamoto haswa kwa magari ya kisasa kidogo maana spear nyingine itabidi waagize sensor!
Kuajiri huko wataalam wa ajuzi wa ukaguzi ni wengi na vifaa ni vingi na bei nafuu kuliko huku! Kazi ya ukaguzi inahitaji Dr.mjuzi aliye bobea akisikia tu sauti ya engine bila ku kusogelea anajua tiari shidaha ni nini mara nyingi bila kutumia vipimo ndio sifa kubwa ya ufundi vinginevyo uta tafuta tatizo siku 20 au masaa mengi!
Aina za magari huku kwetu zina badilika kila siku zinaonekana aina mpya hko Ulaya zinajulikana mda na utatuzi wa changamoto zake! Tujiandae kuumia kidogo! Kwanza kitu cha kwanza TBS wata fungua duka la matairi magari yote watataka yabadilishwe tairi...
Tunapiga adi magoti shetani m'baya sana moyoni unasema tatizo linakaribia kwisha! Unapiga maneno mazuri shetani anapita maisha yana songa! Ukitoka una nyanyua simu una mpigia jamaa yako unamwambia home kimenuka wife kapandisha mzuka una mpa story anakuambia aahhhh iyo mbona kawaida sana iyo mpango wa kando me mbona ndogo sana me nime mtongoza Mama mkwe na tuka kemea shetani ya kwisha 😂Hahahaaa ila wanaume buana, yaani mnajuaga kutudanganya kama watoto wadogo... tunakemea halafu mkifika kwa huyo mnayetuaminisha ni shetani mnamwita malaika😃
Chadema imara ipo bungeni na ndio wakuu wa vitengo muhimu kule💥