Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Aende pale clouds. Tv akahojiwe na kina sasali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajifanya una uchungu kumbe huna lolote.Tatizo kubwa ni Elimu Tu.
Na ulimbukeni, eti hatuhitaji huo msaada, yaani watanzania tunahitaji kuelimishwa maana ata ukisoma michango ya watu kweli inasikitisha.
kabla ya kujibu emm tembelea shule za kata za msingi. jaribu kuuliza kuhusu chakula uone majibu utakayopewa. Yaani mtoto wa maskini kuletewa wali matajiri wanamdanganya asiule eti kisa haujalimwa nchini.
Fungeni midomo nyie nyote msio na midomo ya kusema asante, kama wewe unacho basi usimsemee ambae hana. Kilicho wajaa ni udini, ubinafsi na umbea.
Hao hao walitoa zaidi ya billion 200 wakaelezea kua serikali ichague vijana itumie hiyo b.200 kama mtaji waweze kujijenga kwenye kilimo matokeo yake yamekuaje?
Kuna watu hawajui hili wao wanaangalia matumbo yaoWw njaaa ipo unanunua mchele kilo 3000 unasema njaa huna ???Sisi tuna njaaa tena kali sana kuna familia ubwabwa kwao ni anasa .
Hivyo virutubisho vinatengenezwa na MONSANTO kampuni ijulikanayo kwa kutengeneza genetically modified foods!Nchi hii ni shida sana,lini shirika kama TBS litajitegemea na kufanya kazi yake bila ya shinikizo la politicians?hizi GM ni hapana
Hii ni baadhi ya misaada kutoka Marekani kwa Tanzania kwa miongo kadhaa, halafu jiulize ni lini tuliwahi kuikataa kabla ya kuukataa huo mchele;Swala sio usalama,kwani Tanzania tuna njaa Hadi tupewe Msaada? Hoja ni kuidhalilisha Nchi.
Pia Waziri amesema waje wanunue mazao yetu.Mwisho angekuwa Mwendazake angestamtimua Mkurugenzi wa TBS
Hii ni akili ya kuvukia barabara.Hivyo virutubisho vinatengenezwa na MONSANTO kampuni ijulikanayo kwa kutengeneza genetically modified foods!
Target yao ni wanafunzi ambao muda si mrefu wataanza kufanya mapenzi ya jinsi a moja kwasababu hormones zao zitakuwa z imebadilika’!! Halafu mtaanza kutafuta mchawi kumbe nyie ndio mmewaloga watoto wenu.
Hizo Misaada hapo hatuna ila msosi tunao.Hii ni baadhi ya misaada kutoka Marekani kwa Tanzania kwa miongo kadhaa, halafu jiulize ni lini tuliwahi kuikataa kabla ya kuukataa huo mchele;
1. Chanjo mbalimbali
2. Ujenzi wa mashimo ya vyoo
3. Vyandarua vya wajawazito
4. Condoms
5. ARVs
Bora usemee weeMimi nilishangaa watu walivyokuwa wanatoka povu kuhusu hii ishu. Kwamba NGO iingize vyakula bili idhini ya mamlaka husika??
Alichofanya Waziri ni damage control baada ya watu kuhoji. Hii program iko muda na uongezaji wa virutubishi haujaanza leo na upo kisheria.
Mbona tunakula unga wa ngano, mahindi, mafuta na chumvi vyote vimeongezwa virutubishi, hivyo virutubishi tunateneneza sisi??
BTW wakitaka kutumaliza hawashindwi.. wanaanzia kwenye dawa na chanjo za bure. Hatutaki hiyo misaada tujikwamue kiuchumi!!
Kwann hao wakulima wasipeleke huo mchele wao huko mashuleni, kwan watoto wa nan wanakula? Mnapangia watu matumizi ya pesa zao? LolTanzania hatuna mchele mpaka tuletewe msaada kutoka marekani? Kwanini wasitowe fedha tununue kwa wakulima wetu hapa hapa nchini?
Huo msaada mlienda kuomba wa nn sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi hatuna uhaba wa chakula.
Wee nae huna hata unachokijua, unalishwa na kuveshwa unabaki kuongea ujinga, unaijua njaa wee? Kuna familia hata ugali huo haupo.Wewe ndugu yangu usije taka kula mchele tyu huku usijue baada ya kushiba utalipa nini?[emoji23][emoji1787]
Oy Rafiki sisi tule ugali tu bwana tukipata sawa
Inamaana Bashe alitoa ile kauli kabla ya kuwasiliana na wataalamu wa TBS!? Kama alifanya hivyo hilo ni kosa kubwa sana, mambo ya kitaalam tuachiea wataalamu wa fani zao!!!Wamesha lamba asali bila shaka, mbona kauli zao zinakinzana na za Bashe?
Ila ARV, chanjo, na madawa mengine je? Hivi nyie mko timamu?MUGUFULI tunakukumbuka baba; donor country tumeletewa mchele na maharage yenye virutubisho baba kweli tunafananishwa na kuku wa kisasa , kwanini wasilete nyama kama wanatupenda NYAU HAWA.
Hivi nyie mnawaza ushoga sanaa? Ushoga uko hapa kabla ya hiyo misaada, na wakitaka kuuleta ushoga watauleta kwa mbinu yoyote tyuuh.Hivyo virutubisho vinatengenezwa na MONSANTO kampuni ijulikanayo kwa kutengeneza genetically modified foods!
Target yao ni wanafunzi ambao muda si mrefu wataanza kufanya mapenzi ya jinsi a moja kwasababu hormones zao zitakuwa z imebadilika’!! Halafu mtaanza kutafuta mchawi kumbe nyie ndio mmewaloga watoto wenu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama kwa Walaji
TBS imesema taratibu za uingizwaji wa chakula Nchini zilifuatwa ikiwemo ukaguzi na uchunguzi wa Kimaabara
Meneja Uhusiano na Masoko wa TBS, Gladness Kaseka amesema "Utaratibu wa kuongeza virutubishi kwenye chakula (food fortification) unakubalika kitaalamu na hufanyika kwa lengo la kuboresha hali ya lishe kwa walaji.
Pia, soma; Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele
View attachment 2937867tutaanza
Huu upendo umeanza lini?