TBS na TFDA wapewe waarabu tu, Bidhaa bandia madukani ni nyingi sana na zingine ni vyakula, magonjwa yasiyo ambukiza hayata isha

sidhani kama upo sahihi, labda useme umasikini wa viongozi wa TBS unaovutia rushwa na kuacha wazalishaji na waagizaji wa bidhaa wafanye wanavyotaka
TBS wakiamua wakabe hadi penati hakuna kiwanda kitasalia Tanzania
 
Tuachana na viwanda, hata maduka ya vyakula yanayohitaji usajili hayana usajili, tutapona??? matatizo ya food poisoning katika nchi hii ni jambo la kawaida na hamna anayejali, utakuwa hufahamu majukumu ya msingi ya tbs wewe
 
Siasa na wanasiasa
 
Tatizo ni Umasikini, hii ndo sababu watu wananunua sub standard goods
kwanini TBS isihakikishe hazipo sokoni? binafsi ninayo shida kubwa na vyakula/vipodozi na bidhaa nyingine zisizo salama, substandard nadhani haiwezi kuua mtu ila itakuwa na madhara ya kiuchumi
 
wazalishaji kibao wanataka au wanaomba kuthibitisha ubora wa bidhaa zao lakini huo urasimu sasa, utadhani unaomba tiketi ya kwenda mbinguni, tbs ni shida kubwa na nadhani kutakuwa na ombwe kubwa la kiuongozi
 
kwanini TBS isihakikishe hazipo sokoni? binafsi ninayo shida kubwa na vyakula/vipodozi na bidhaa nyingine zisizo salama, substandard nadhani haiwezi kuua mtu ila itakuwa na madhara ya kiuchumi
Sababu ni zile zile Siasa na Wanasiasa, inabidi uingie Ugomvi na China. Maana itabidi utangaze kuwa Product fulani haziruhusiwi kuingia nchini kwetu.

Kweli Tunaweza ila at a cost na yahitaji watu makini sana na wasio yumbishwa, waanze na nguo kwanza wapewe maelekezo kabisa kisha waanze kuwapiga fine au kuzichoma moto...

Hii nayo ni hatari maana watu watakwepa bandari yetu
 
tuzungumzia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini hususani vyakula, kuna mwanasiasa asiyependa watu wake wale vyakula salama? tuoneeni huruma wavuja jasho wa nchi hii, vyakula vingi vya mitaani siyo salama hata kidogo, baba na mama lishe wanahitaji usimamizi wenu
 
Sababu ni zile zile Siasa na Wanasiasa, inabidi uingie Ugomvi na China. Maana itabidi utangaze kuwa Product fulani haziruhusiwi kuingia nchini kwetu.

Kweli Tunaweza ila at a cost na yahitaji watu makini sana na wasio yumbishwa, waanze na nguo kwanza wapewe maelekezo kabisa kisha waanze kuwapiga fine au kuzichoma moto...

Hii nayo ni hatari maana watu watakwepa bandari yetu
Kwa hiyo ni afadhari kuwaweka wananchi wako kwenye risk ya cancer na magonjwa ya ngozi eti kwa sababu unamtetea mchina ndiyo akili hiyo ?
 
Wenzetu wamewezaje? Mbona tunatetea ujinga na hatari kirahisi rahisi tena kwa hoja za kipumbavu kabisa
hawa watu wanacheza na afya zetu, ukisikia watu wamekufa au kuugua baada ya kula vyakula hasa kwenye mikusanyiko mikubwa ujue hawa wanaoishi kwa kodi zetu tfda sijui tbs wameshatuuza, hawafanyi majukumu yao inavyotakiwa ! inaonekana viongozi wao wamelala sana na wanafanya kazi kwa mazoea tu ili mradi matumbo yao makubwa yamejaa. pengine wahusika wangefanya uthibiti vizuri na kutoa mafunzo haya yasingetokea. tumwombe Mwenyezi Mungu atunusuru
 
Kila kitu mkigawa kwa vigezo vya kushindwa kusimamia huo utakuwa UPUMBAVU, tungeni sheria kali dhidi ya wala rushwa na wanaoshindwa kusimamia majukumu yao.

Sheria ya kunyonga na kupora mali za walioshindwa kuwajibika ikiwekwa huo ujinga utakwisha, jifunzeni hata kwa hao mnaowashobokea, kwao sheria ni ngumu ndiomaana hayo madude mabovu hawayasambazi kwao bali ktk hizi nchi za kipumbavu tunazoamini maendeleo yanaletwa na wageni.

SHERIA TU NDIO ITAKAYOBADILI HUU MFUMO MBOVU
 
Kuwa na mamlaka au taasisi za kudhibiti ni jambo moja na utendaji, weledi na ufanisi wa lililokusudiwa ni jingine.
Wakati mwingine taasisi nyingi utendaji ni wa kinadharia ili kuingiza mapato na pia hupunguza ufanisi katika shughuli za ujasiriamali.
 
Kwa hiyo ni afadhari kuwaweka wananchi wako kwenye risk ya cancer na magonjwa ya ngozi eti kwa sababu unamtetea mchina ndiyo akili hiyo ?
Kuna chaguzi nyingi ni wewe na pesa yako tu
 
Back
Top Bottom