HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Sababu ni umasikinitbs ni wasanii watu tuna ushahidi mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ni umasikinitbs ni wasanii watu tuna ushahidi mwingi
sidhani kama upo sahihi, labda useme umasikini wa viongozi wa TBS unaovutia rushwa na kuacha wazalishaji na waagizaji wa bidhaa wafanye wanavyotakaSababu ni umasikini
TBS wakiamua wakabe hadi penati hakuna kiwanda kitasalia Tanzaniasidhani kama upo sahihi, labda useme umasikini wa viongozi wa TBS unaovutia rushwa na kuacha wazalishaji na waagizaji wa bidhaa wafanye wanavyotaka
Tuachana na viwanda, hata maduka ya vyakula yanayohitaji usajili hayana usajili, tutapona??? matatizo ya food poisoning katika nchi hii ni jambo la kawaida na hamna anayejali, utakuwa hufahamu majukumu ya msingi ya tbs weweTBS wakiamua wakabe hadi penati hakuna kiwanda kitasalia Tanzania
Siasa na wanasiasaTuachana na viwanda, hata maduka ya vyakula yanayohitaji usajili hayana usajili, tutapona??? matatizo ya food poisoning katika nchi hii ni jambo la kawaida na hamna anayejali, utakuwa hufahamu majukumu ya msingi ya tbs wewe
tukiwapa waarabu siasa na wanasiasa hawatakuwa na nafasi tena maana wataogopa kushtakiwa!Siasa na wanasiasa
hata hivyo mapungufu mengi TBS inapenda kuwasingizia wanasiasa tu kuficha udhaifu waoSiasa na wanasiasa
Tatizo ni Umasikini, hii ndo sababu watu wananunua sub standard goodshata hivyo mapungufu mengi TBS inapenda kuwasingizia wanasiasa tu kuficha udhaifu wao
kwanini TBS isihakikishe hazipo sokoni? binafsi ninayo shida kubwa na vyakula/vipodozi na bidhaa nyingine zisizo salama, substandard nadhani haiwezi kuua mtu ila itakuwa na madhara ya kiuchumiTatizo ni Umasikini, hii ndo sababu watu wananunua sub standard goods
Sababu ni zile zile Siasa na Wanasiasa, inabidi uingie Ugomvi na China. Maana itabidi utangaze kuwa Product fulani haziruhusiwi kuingia nchini kwetu.kwanini TBS isihakikishe hazipo sokoni? binafsi ninayo shida kubwa na vyakula/vipodozi na bidhaa nyingine zisizo salama, substandard nadhani haiwezi kuua mtu ila itakuwa na madhara ya kiuchumi
tuzungumzia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini hususani vyakula, kuna mwanasiasa asiyependa watu wake wale vyakula salama? tuoneeni huruma wavuja jasho wa nchi hii, vyakula vingi vya mitaani siyo salama hata kidogo, baba na mama lishe wanahitaji usimamizi wenuSababu ni zile zile Siasa na Wanasiasa, inabidi uingie Ugomvi na China. Maana itabidi utangaze kuwa Product fulani haziruhusiwi kuingia nchini kwetu.
Kweli Tunaweza ila at a cost na yahitaji watu makini sana na wasio yumbishwa, waanze na nguo kwanza wapewe maelekezo kabisa kisha waanze kuwapiga fine au kuzichoma moto...
Hii nayo ni hatari maana watu watakwepa bandari yetu
Kwa hiyo ni afadhari kuwaweka wananchi wako kwenye risk ya cancer na magonjwa ya ngozi eti kwa sababu unamtetea mchina ndiyo akili hiyo ?Sababu ni zile zile Siasa na Wanasiasa, inabidi uingie Ugomvi na China. Maana itabidi utangaze kuwa Product fulani haziruhusiwi kuingia nchini kwetu.
Kweli Tunaweza ila at a cost na yahitaji watu makini sana na wasio yumbishwa, waanze na nguo kwanza wapewe maelekezo kabisa kisha waanze kuwapiga fine au kuzichoma moto...
Hii nayo ni hatari maana watu watakwepa bandari yetu
hawa watu wanacheza na afya zetu, ukisikia watu wamekufa au kuugua baada ya kula vyakula hasa kwenye mikusanyiko mikubwa ujue hawa wanaoishi kwa kodi zetu tfda sijui tbs wameshatuuza, hawafanyi majukumu yao inavyotakiwa ! inaonekana viongozi wao wamelala sana na wanafanya kazi kwa mazoea tu ili mradi matumbo yao makubwa yamejaa. pengine wahusika wangefanya uthibiti vizuri na kutoa mafunzo haya yasingetokea. tumwombe Mwenyezi Mungu atunusuruWenzetu wamewezaje? Mbona tunatetea ujinga na hatari kirahisi rahisi tena kwa hoja za kipumbavu kabisa
Kuna chaguzi nyingi ni wewe na pesa yako tuKwa hiyo ni afadhari kuwaweka wananchi wako kwenye risk ya cancer na magonjwa ya ngozi eti kwa sababu unamtetea mchina ndiyo akili hiyo ?