TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Hahaha,ukipungukiwa ya bia au vant nitafute kama zamani mkuu.ingawa siku hizi umenipotezea,sijui umepata mwingine 😁
 
Hahaha,ukipungukiwa ya bia au vant nitafute kama zamani mkuu.ingawa siku hizi umenipotezea,sijui umepata mwingine 😁
Mapema sana boss kubwaπŸ₯°..umri huu nan atanitaka mkuu..ndo maana unaona najitaftia zangu tu mkuuπŸ˜ͺ
 
hahaha afu ni mpenzi w hiyo kitu..ajabu nashangaa inashaulisha hadi kichwa chini kinakosa ushirikiano na cha juu!ukinywa zaid y vichupa 3 unaona kbs kichwa cha chini na juu havina ushirikiano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. juzi Kati nilikunywa nikakamatia demu nusu akimbie yani.. akaniambia mganga alie nipa dawa ni noma akajua labda nimemmezea dawa yani
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Taabu yote ya nini? Sijawahi jificha kunywa pombe kwa wazazi tangu nimeanza kujitegemea nikiwa na 24. Nilienda home mama au baba (r.i.p) anauliza tukuletee beer gani? Nikatae mwenyewe tu kwa aibu...Mimi nyumbani ndo mnywaji kuliko wote akifatia mdogo wangu wa kiume.

Zamani nilikuwa najificha kwa mama mkwe nikaona huu uboya Sasa..tumeenda kwenye harusi pombe za kumwaga nikasema Leo liwalo na liwe lazima ninywe...nikavuta Serengeti light taratibu na mama mkwe yupo hapo pembeni yangu.
Nikasema Kama mungu ananiona basi sipaswi kujificha kwa mtu yoyote.
 

Hahajaa nilishakuambia familia yenu mna uzungu..ww si unamuona mama yako alivyo sista duu? Mm kwetu hakuna hizo mambo .kwanza toka nazaliwa sijawahi ona chupa ya bia home .amini hili...baba ameachaga pombe 1990 tukiwa bado wadogo...ss hv baba hapend sikia mwanaye anakunywa pombe...mama ndo msabato had anakifu! Weee sisi hom tunajificha shoga .maana mama atakufa kwa presha ingawa najua anajua tunakunywa!
Mimi siwez kunywa na mama mkwe aisee . ! Ntalazimisha nilewe nimuulize hili toto lako umelileaje!aku! Sitak...! Inaboa sana kujificha aise!
 
Ha haha chizi wewe umenichekesha hapo mwisho. Hebu lewa na mama mkwe siku moja uje kutusimulia, si anakunywa?

Hivi kweli na utu uzima huu nimfiche mtu kuwa sinywi pombe??? No way kwa kweli.
Ila nakuelewa sana..km wazazi wapo hivyo huna budi kujificha usije ukawasononesha.
 
Nilikuwa nasikia kama utani ila ni kweli baada watu wengi kukilalamikia kinywaji cha K-vant kuwa kinapoteza kumbu kumbu. Mbona vinywaji vyengine vipo tofauti.

Kuna kitu gani au kufanya ushindani.
pamoja na alkasusu, wanaume wnatukoa jamani.
 
Ha haha chizi wewe umenichekesha hapo mwisho. Hebu lewa na mama mkwe siku moja uje kutusimulia, si anakunywa?
Hivi kweli na utu uzima huu nimfiche mtu kuwa sinywi pombe??? No way kwa kweli.
Ila nakuelewa sana..km wazazi wapo hivyo huna budi kujificha usije ukawasononesha.
Duh..konyagi kabla ya kuswaki...ni nomaa
 
Hafai yule shoga..
 
nilikuwanywa chako ni chako na washakajii sijuii hata niliwaachaje kizurii bili ilikuwa imelipwa kasoro bia nimejikuta home nimelala na sijuii mlango nilifungaje K-VANT balaa
tuwe honest mkuu ukikutana na ma junk wenye tamaa na wafiraji si wanakufira vizuri tu unaachwa na mbegu???
 
tuwe honest mkuu ukikutana na ma junk wenye tamaa na wafiraji si wanakufira vizuri tu unaachwa na mbegu???
ohooooooh 🀣 🀣 🀣 hii mambo ndo haifai hivi utashtaki wapi?na umefanywa nini na nani ukiwa wapi? hebu tuone ushahidi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…