TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

Mkuu achaa uwongo.....dengelua haiko hivyo hiyo unayoisema inaitwa pingu....achaa kutuleteaa story za kupigiwaa hapa
Naongea kwa uzoefu mkuu, enz zetu pombe nyingi tu zingeweza kukufanya ujinyee, nitawaletea kisa changu jinsi nilivyojinyea kwenye ndege Frankfurt baada ya kunywa gambe flan afrika magharibi ambalo ukinywa unashiba baada ya masaa saba linajichuja ndio unaanza kulewa baada unazungumza kiingereza kizuri masaa matatu baada hapo ni kulia masaa mawili baada ya hapo ni kujinyea mfululizo na kuzimia siku nzima .
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mzee itakua uliahidi kazi

Mkuu ni hatari sana, kila nikifikiria nakumbuka nilikua naongea na nilizungukwa na watu na wengine ni watu wazima sana, nakumbuka kuna wazee wakati naongea wanaambiana si nilikwambia mimi ukawa huamini [emoji23]
 
nadhan kuna ki kampen dhid ya k vant kibiashara. hii spirit ubora wake ni kutokuwa na hang over kesho yake. konyag na wengine wanahaha kuhusu huu utalam
 
Hahahahaha daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]
 
Duh kweli kuna wakulungwa wabobezi,,, shimha umix na k vanga"" hapo huchomoki dadekii
 


Hahahahhahahahahahahahahaa jamani uwiii 🤣🤣🤣🤣! Ndo maana tunadharaurika 🤣🤣🤣🤣🤣! Kwann ukiona signal zinakata usianze kunywa maji? Mm nikiona nalewa naacha naanza kunywa maji kwa pupa .30min mzimaa! Dah aisee..ukapoop
 
Binafsi Sina ujasiri wa kunywa pombe mbele ya ndugu zangu

Aisee naonekana Sana paroko ,pasta muinjilisti kumbe nyuma ya pazia Ni Mafia Ile mbaya [emoji1]bia nazikata na kula kimasihara Kama kawa

Bi mkubwa anajua nakunywa Ila mzee hajui

Bi mkubwa aliwahi niuliza hivi wewe unakunywa bia nikamwambia ndio Ila sio Sana coz mdau kivile mbili tu zinatosha
 
Mwenzenu sijui nina balaa!!!! Katika maisha yangu SIJAWAHI KUPEWA PESA NA MWANAUME
 
Mwenzenu sijui nina balaa!!!! Katika maisha yangu SIJAWAHI KUPEWA PESA NA MWANAUME
Hapa duniani unaweza jiona una mikosi ..! Kuna dada anapewa na mumewe 500k monthly! Amenunuliwa gari na anajaziwa petrol !lakini analalamika mumewe hampendi hamcare!
Lakini hayo hayo tena kuna wanaume wanafanyiwa na wake zao !
Hii dunia ngumu sana kuijua ! Inachosha! Hahaha...so hata 3m hujawah pewa? Mm nimewahi pewa aise!
Hii dunia😅!
 
😀😀😀 Acha kujificha be free
 
hahaha afu ni mpenzi w hiyo kitu..ajabu nashangaa inashaulisha hadi kichwa chini kinakosa ushirikiano na cha juu!ukinywa zaid y vichupa 3 unaona kbs kichwa cha chini na juu havina ushirikiano
Sasa na wewe unakunywaje chupa zaidi ya tatu??.
 
ila kuna jamaa mmoja alinieelekeza jinsi ya kuangalia fake na OG sisi ukinunua kwake tunakunywa fresh bila shida ila tukienda huko madukani lazima shida itokeee... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
za madukani unajua zinakaa sana hazikimbii kama za bar ndo maana shida inakuwepo maana kadiri mvinyo unavyokaa muda ndivyo unazidi kuwa mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…