Lissu hakuanza utukutu leo, Lissu kaanza kuhenyesha watu tangu enzi za Mkapa, wanasheria wa serikali wote waliishamshindwa, hivi huyu mwamba alifundishwa sheria na wahadhiri wa hapa hapa bongo kweli? Huyu mwamba ni moja ya watu wachache wanaoachaga historia kwenye nchi zao.
Anyway nimefurahia hapo alipomuita polisi eti Bwana mdogo😀😀😀
Anyway nimefurahia hapo alipomuita polisi eti Bwana mdogo😀😀😀