TBT: Nguli wa sheria Lissu akiwahenyesha polisi, kuna haja ya polisi kufundishwa sheria?

TBT: Nguli wa sheria Lissu akiwahenyesha polisi, kuna haja ya polisi kufundishwa sheria?

Nchi hii inachekesha Sana polisi darasa la saba , Jiwe darasa la Saba nchi itafika wapi?
 
wale wazee wa kuazima pen na kuanza kutia mdomoni, mnamuona afande anakwangua mba kwa peni!!!
 
Polisi analinda usalama wa ndani pamoja na mali za wananchi, unamuita "bwana mdogo " kwa msingi upi? Hapo ulipo unaongea kwa amani na anakulinda! Kejehi imetoka wapi?

Unajuaje kama ni mdogo ki-umri?
 
Naomba kuuliza tu kwa moyo mweupe,
Kuijua sheria kwa usahihi kunaweza kukufanya kuwa kiongozi bora wa kisiasa?
Ndiyo, kwasababu utakuwa unaongozwa na sheria katika uongozi wako. Ni tofauti na chemistry ambayo inakufanya unakuwa corrosive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naomba kuuliza tu kwa moyo mweupe,
Kuijua sheria kwa usahihi kunaweza kukufanya kuwa kiongozi bora wa kisiasa?
namimi nitakuulkiza swali, kuijua kemia kwa usahihi kunaweza kukufanya kuwa kiongozi bora wa kisiasa?
 
Back
Top Bottom