Sms inaweza kutoka popote pale ila ni ya nani ndiyo vyombo vya ulinzi na usama inatakiwa ichunguze isipochunguza ujue wanajua imetoka wapi kwahiyo na wewe upaswi kuuliza kwa sababu inajulikana
Sisi tusiojua lolote tulitegemea uchunguzi uanzie hapo kwenye hiyo msg kuhusu nani mmiliki wa hiyo namba ya simu, anafanya kazi gani, walikosana nini, na wala sio kuongeza maswali kama inaweza au haiwezi kutoka kwenye chama Chao.