Japhet gombe
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 556
- 623
Sms inaweza kutoka popote pale ila ni ya nani ndiyo vyombo vya ulinzi na usama inatakiwa ichunguze isipochunguza ujue wanajua imetoka wapi kwahiyo na wewe upaswi kuuliza kwa sababu inajulikana🐼
Unadhani sms haiwezi Kutoka Chamani hapo hapo Kwa Mawakala?
Nauliza tu kupitia mafunzo ya yale Makaratasi ya Yeriko