😂😂😂😂Usijali utakua poautanidumaza wewe😅
Duh 😔Kuna mwamba wangu yeye aliyapata matokeo akiwa kaburini. Daah Soo sad matokeo bado Kama wiki mbili jamaa kavuta usiku akiwa kalala. Kumbe mwana alikua ana kifafa na mm mchizi wake wa karibu sikua najua. Kilimkuta ucku akiwa kalala nazani alikosa hewa inside the shukaz.
Amna kukata tamaaa2004 nilikuwa home nimechill tu nilijua napata channel O na kweli ikawa.
2005 nilikuwa Mwanza bi mdashi akaniambia umefeli tena.
2006 Kigereshi - Mwanza nimetoka mazoezi .Mjomba akaniambia labda ujaribu kitu kingine,umefeli.
2007 nilipata C tatu.Ilinikuta nafanya kazi KACU chama cha ushirika Kahama.Nikaacha na kazi muda huo huo.Kilichobaki ni historia.
Ngoma haikusahihishwa upya, ilifanyiwa standardization tuuHuu mwaka raia walivuruga. Mpaka mkasahishiwa upya 😁
sasa ulishangilia nini kwani ulikua hujui kama utafauluNilikua kijijini kwa bibi,
Matokeo yetu yalitangazwa jioni, sasa usiku km SAA 2 ndo mama akapiga kwa bibi, akapokea akamuambia mpe cm coca,
Ile kuchukua mie, nasikia mama analia kwa furaha "mwanangu umeniheshimisha, mwanangu umeniheshimisha hongera sana". Nilichachawa balaa nkatoa cm kwenye chaji, kuwasha hv text zina miminika tyuuh za watu kunipa in4 za matokeo, ila mie yangu yakoje hawajasema.
Nahaha kumtafuta maadam ili anieleze, mara vuup kaka anapiga aseeh kupokea tyuuh kaka akaanza kunitajia tokeo langu, nliruka kwa furahaa, na machozi yalianza kutoka, nkalia kwa furaha hapo wee.
Baadae baba akanipigia kunipa hongera, na kuniambia nijiandae kesho yake nirudi home town.
😄😄Mbona wote mumefaulu hakuna wa zero wenzangu? Mimi nilipata wani ya 32
Mum sitaki uwe na kibenten 🫤😕😕 .😂😂😂😂Usijali utakua poa
🤣🤣🤣nilikua Zenji, matokeo yalipotoka nikakamata mtoto Khairat kwa scores nzuri
too bad sikupata unganisha nae vikojoleo
Usijali namzingua tu huyo siwez kijana wangu😜😍Mum sitaki uwe na kibenten 🫤😕😕 .
hahahahaha
Mtu una AKILI TATU ulitegemea ufaulu kweli?Kiukweli nilikuwa nazagamua mmama wa mtu ndani kwake...huyu mama alikuwa mke wa mjeshi ...so nilikuwa naenda enda sana kwake kumpa kampani as Mme wake alikuwa congo huko akilinda usalama...
So nikiwa namzagamua akapigiwa simu na mdogo wake naye kamaliza form four..amwangalizie matokeo...
Basi ikabidi show iamie sebuleni kwake maana alikuwa na desktop..so bi mama anatazama necta huko huku ukuni unamsukutua...🤣🤣
Nilikuwa Sina Imani na kiwango changu class..hivyo sikuwa na haraka sana ya kujua Nini nimepata...nilijua nikifaulu basi ni div three... guess what....wakati naendelea kumbatua mdogo mdogo si ndio akanitamia na Mimi bana...
Akaserch pale ...kitu hiki hapa...div four ya mwisho kabisa🤣🤣🤣 ikabidi aanze kuniliwaza...
Mwisho wa kuniliwaza ikawa kumkula Tena.
Yule mumama aishi sana aiseee huko aliko
Usijali namzingua tu huyo siwez kijana wangu[emoji12][emoji7]