TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

Kuna Moja tulishuka nalo Kabuku tulikaa kwenye mashine karibu madereva wanne tunamwangalia dereva kama atatoa mguu kwenye accelerator lakini wapi ndio kamwe anakandamiza Huku alarm inawaka.
Duh
 
Nakumbuka mwaka 1996 nilipanda Basi moja linaitwa super kafalusu kutoka Dar kwenda ngara, hapo njiani tulikimbizana na Basi moja linaitwa Commando na lenyewe la ngara lilikuwa na picha ya Arnold na SAS. Hiyo safari mpaka Leo naikumbuka.
 
1699457360334.jpg

Hilo ni basi la "SAYUNI" namba TZK jamaa kaziba namba hapo, enzi zake, DAR, MBEYA, TUNDUMA, KAPIRIMPOSHI hadi LUSAKA. Hii nayo ilikuwa moto, yaani ukisimama njiani dakika tano tu huyoo kafika. Aliwasumbua sana kina Tawaqal na Matema Beach. Watumiaji wa barabara ya Dar Mbeya Tunduma wanalifahamu vizuri sana hili basi. Karibu sana ukumbuke tulikotoka.
 
Nakumbuka mwaka 1996 nilipanda Basi moja linaitwa super kafalusu kutoka Dar kwenda ngara, hapo njiani tulikimbizana na Basi moja linaitwa Commando na lenyewe la ngara lilikuwa na picha ya Arnold na SAS. Hiyo safari mpaka Leo naikumbuka.
Tupe simulizi
 
Back
Top Bottom