Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

Chadema ni mabingwa wa kulia lia. Hata hawaeleweki kazi yao kutafuta sympathy, ndio wataweza kuongoza nchi?
Mara nyingi CHADEMA huwa wanapotosha ukweli.

Wakizungumza jambo usiwaanini moja kwa moja mpaka ufanye contercheck, rejea maelezo yao ya kuchelewa kuaga mwili wa Rais mstaafu, kuvunjika mguu M/kiti.
 
Hamza analinda choo cha wanaye. Pole Sana bwana Hamza kwa kuuweka ubongo wako likizo na kuamua kutumia ule wa John mpk pale atakapokutengua.

Wenye kuuweka ubongo likizo ni wale wenye kumiliki helikopta ambao ndio waliowakodisha chadema kwa ajili ya kipindi cha kampeni.

Helikopta ikianguka na watu wakafa wa kwanza kulaumiwa ni Hamza na ofisi yake,hawezi kukubali mambo yajiendee tu kiholela.
 

Hawa nchi yao ni Jamhuri ya Twitter na Facebook hii iitwayo Tanzania wataisikia tu radioni.
 
Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?

Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?

Kichwa maji soma vizuri waliomba kibali cha msamaha wa kutumia rubani wa zaidi ya umri ulio wekwa kisheria na wamekataliwa kwakuwa ni kinyume cha sheria kutumia rubani mwenye umri wa zaidi ya 65 years!

Mnapaswa kuwaomba radhi Mamlaka ya anga muache kuropoka ropoka
 
usubilia wakiwa hawajui nini kinaendelea, kumbe wakijua uhakiki wa wadhamini ulikuwa ukiendelea baada ya wao kutofuata taratibu za kuhakiki wadhamini wao wakati wakizunguka.
Rubbish, hakuna sheria inayosema uhakiki ufanyike mikoani. Shria ya uchaguzi haisemi hivyo
 
Kwahiyo unataka wavunje sheria ili wawajibike na mnafahamu ni juzi tu tobolisu ametoa lalamiko kuwa amepata habari kwa wasiri wake kuw anaandaliwa ajali ya ndege.
duniani hakunaga kitu inaitwa coincidence!
 
Reactions: BAK
kasaidie tetemeko, unakaa kupost humu! Kila kitu kagear, tetemeko, vita, mafuriko, .. by Jiwe
 

Chadema ni wachonga midomo tuu wanakataa kufata sheria wakati iko wazi kabisa
 
Inaonekana ni swala linaloongozwa na sheria. Rubani anatakiwa asizidi miaka 65. Utatuzi ni rahisi tu. Hiyo kampuni ya State aviatian itumie rubani mwenye miaka chini ya 65 na kampeni ya mgombea uraisi iendelee.

Chadema ni chama cha walalamishi na wajinga wanao jua kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…