Sheria ya uchaguzi inaagiza kiswahili tu kuwa ndio lugha pekee kwenye kampeni.
Nawaza...! Kama siku za nyuma alikuwa 65 na miezi miwili, Hapo TCAA wanaweza kutumia 'common sense' kumruhusu! Lakini kama anakimbilia 70 kasoro kidogo...! Hawawezi kukubali. Ebu tufafanulie, huyo Rubani aaliyekuwa anaombewa kibali ana umri gani!?siku za nyuma ilipewa kibali kumtumia pilot ambaye ni above 65 YO kwanini leo walinyimwa hicho kibali?
Hao wanaomsikiliza mgombea sio wote wenye kuelewa vyema kiswahili.Niliyemqoute kasema taasisi za nchi hii zinasimamia sheria, ndio nikatao mfano wa kuongea kisukuma. Hakuna anayekataa kisukuma kutumika, ila sheria za uchaguzi ni marufuku kutumia kilugha nje ya kiswahili.
Umeshaambiwa kuna vigezo vya umri vimewekwa..unaanza kuhoji kisiasa.. baadhi ya wabongo ndio maana mnakuwa malofa..Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
unaelewa lakini au ni ubishi tu, mnataka wabatilishe kanuni na taratibu zilizowekwa? madhara yakitokea mtarudi hapa na lugha nyingine
Kisukuma ni lugha. Kama anadhani message yake itafika vizuri akitumia kisukuma kwa nini asitumie. Hakuna sheria inayomkataza.
Wenzio wamenukuu vifungu vya sheria wewe unataka waanze kumfanyia tathimini mtu?
Hivi bavicha mna akili kweli?
Umeshaambiwa kuna vigezo vya umri vimewekwa..unaanza kuhoji kisiasa.. baadhi ya wabongo ndio maana mnakuwa malofa..
Akianguka mtasema serikali imesababisha..kuna umri wa kupaa angani.
Hao wanaomsikiliza mgombea sio wote wenye kuelewa vyema kiswahili.
Na kisukuma kinachomekewa tu haiwi ni hotuba nzima. Na lugha zetu huwezi kuzikwepa kwani kiswahili kwa wengi wetu ni lugha ya pili.
Nawaza...! Kama siku za nyuma alikuwa 65 na miezi miwili, Hapo TCAA wanaweza kutumia 'common sense' kumruhusu! Lakini kama anakimbilia 70 kasoro kidogo...! Hawawezi kukubali. Ebu tufafanulie, huyo Rubani aaliyekuwa anaombewa kibali ana umri gani!?
Ukisoma hoja zao utadhani wanatumia masaburi kifikiri. Mtu anaanza kulinganisha USA, China, Japan while ameshaambiwa sheria za nchi yake zinasemaje.Umeshaambiwa kuna vigezo vya umri vimewekwa..unaanza kuhoji kisiasa.. baadhi ya wabongo ndio maana mnakuwa malofa..
Akianguka mtasema serikali imesababisha..kuna umri wa kupaa angani.
Hairuhusiwi kutumika kwenye kampeni kasome maadili ya uchaguzi mkuu 2020Kisukuma ni mojawapo ya lugha 120 za Tanzania. Ina haki kutumika.
Ingawa naona kama vile umeingiza mada katika uzi tofauti kabisa.
Sina tatizo na lugha ya mtu, ila sheria za uchaguzi zinasema kabisa lugha ya kampeni ni kiswahili tu.
Wao wanachoangalia ni pesa..ndio maana umeona wameomba exemption..Tatizo lako una UFINYU wa akili. Sasa hao wenye kampuni wataombaje kibali kama wanajua kwamba hakuna utaratibu wa kuruhusu aliye above 65 kurusha helicopter?
[emoji15][emoji15][emoji15]
Badae watasema kahujumiwa..wakiambiwa rubani alikuwa mzee watasema mbona serikali haikuzuia..hawa serikali ingekuwa inawasikilizaga ingekuwa shida sana.Ukisoma hoja zao utadhani wanatumia masaburi kifikiri. Mtu anaanza kulinganisha USA, China, Japan while ameshaambiwa sheria za nchi yake zinasemaje.
Huwezi kusema Chadema walificha ukweli bila kujua jibu walilopewa.
Hao wenye helicopter wanajua kuna utaratibu wa kuomba kibali kama pilot ni above 65 YO ndiyo sababu waliomba kibali vinginevyo wasingeomba kibali.
Swali kama hiyo kampuni siku za nyuma ilipewa kibali kumtumia pilot ambaye ni above 65 YO kwanini leo walinyimwa hicho kibali?
Wapo lukuki lakini agizo toka juu litabaki palepale kwa madai kuwa vijana hawafai labda chekechea nia ikiwa kuzuia Mgombea wa Upinzani asifanye kampeni akamshinda kipenzi chao ambaye hawezi kushindana na yeyote bila kubebwa.Kwa hiyo tatizo lipo hiyo kampuni ya State aviation! Hii kampuni haina rubani wa chini ya miaka 65 wa kumuendesha mgombea uraisi!