TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani.

Wimbo huo unafungiwa licha ya kuwa una mwezi mmoja tangu ulipowekwa YouTube, ukiwa umetamzwa zaidi ya mara milioni 10.2.

 
WAKRISTO SOMETIMES MNACHEKESHAGA SANA NA DOUBLE STANDARDS ZENU... VILE VITUKO VYA AKINA MASANJA NA ORIJINO COMEDY... NA YALE MAUNO YA NYIMBO ZENU ZA INJILI YAPO SAWA...? ILA HII YA DIAMOND INALETA UKAKASI...
 
Wakristo wapi hao!??
 
Kaz ya basata ni kufungiaga nyimbo tu
 
Basata kufungia ni kwenye television za ndani na sio YouTube, youtube itaendelea kupeta.
 
WAKRISTO SOMETIMES MNACHEKESHAGA SANA NA DOUBLE STANDARDS ZENU... VILE VITUKO VYA AKINA MASANJA NA ORIJINO COMEDY... NA YALE MAUNO YA NYIMBO ZENU ZA INJILI YAPO SAWA...? ILA HII YA DIAMOND INALETA UKAKASI...
Kituko kikuu ni cha kufikiri peponi kuna vigori 72 vya kugegeda.

Mudi alikuwa anapenda ngono sana, yani akaona awadanganye kabisa oooh mimi mtume wenu Mudi nimeambiwa na mnyazimungu tukifa basi kule peponi tutakuta mabikira 72 tutasugua sana mbususu, kwani hawa wa4 mnaowabandua tope huku earth hawawatoshi?
 
Sawa mfuasi wa [emoji304]
 
Mbona hawajawai mfungia mtu huyu amekua akitoa video za kuzalilisha walimu, madokta, manesi, ata kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…