Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Mna wasiwasi gani sasa wakati mlisema hata mkisimamisha mti watu watapigia kura mti...acheni visingizio tuliwaambia hapa siasa ni sayansi sasa mpo kwenye reality mlialia.Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM.
Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya Magufuli.
Mnatuona Watanzania kuwa ni wajinga sana kiwango hiki?
Congratulations in advance President Magufuli
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA