Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri hadi kesho jioni bwana mdogo, leo si ndio fainali?Umelewa eti, mtachanyikiwa sana, wizi wenu wote na mbinu zote chafu zinazidi kufichuliwa. Kumbe madaraja hamyaamini tena kama yatawasaidia kwenye uchaguzi huu, tuliwaambia nchi haiendeshwi kama vile ina wizara moja tu ya ujenzi
😂😂😂ebo watu mmeikumbuka TVT leo🙌Bora ilivyokuwa TVT sio TBC emu [emoji23]
yani hata kama anataka kuhubiri hadi asubh. kama walikuwa wataka wangefunga tu na chaneli zote. ibaki hiyo tbisi na chn10 hewani labda ndo tungesumbuka.Aibu Yao, matokeo yatawahukumu .waanze kutafuta ajira zingine
Ajabu sasa hao hao ndio wanashinda, yaani Meku ndio raisi wako. Inauma Ila ndio hivyo mkuu.Hahaha ccm hata wangefanya mkutano leo, kura zote kwa Lissu.
Ajabu sasa hao hao ndio wanashinda, yaani Meku ndio raisi wako. Inauma Ila ndio hivyo mkuu.
Mkuu bora umeelimishwa. Kapige kura kwa JPM tafadhaliKwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kuna watu mlivuta bhangi kabla ya kwenda kupiga kura Nini dah nimecheka sanaHuyo dikteta meku asahau ushindi, otherwise alazimishe tumpeleke the Hague
ICC wanaendelea kukusanya ushahidiKwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM...
Tume isiyo huru ya uchaguzi tayari wanafanya wizi wa kura watamtangaza magufuli kwa nguvu bila kujali kuwa siyo chaguo la watanzaniaHuyo mchambuzi amechelewa sana, watanzania walishaamua toka siku kadhaa kumwondoa madarakani Magufuli ili kumweka madarakani Tundu Lissu. Leo watanzania wanahamasishana kwenda kupiga kura na kulinda kura zao.
Hako kativii ka kishamba sana hakuna mtu mwenye weledi anaitizama TBC tenaHivi jamani mnaangalia TBC kutafuta Nini? Kama TV yako haina channels nyingine, si uweke movie iangalie? TBC Imeshapoteza credibility ya kuitwa tv ya Taifa.
Dah...[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM.
Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya Magufuli.
Mnatuona Watanzania kuwa ni wajinga sana kiwango hiki?
Ni Rais wa Tume isiyo huru si chaguo la watanzaniaAjabu sasa hao hao ndio wanashinda, yaani Meku ndio raisi wako. Inauma Ila ndio hivyo mkuu.