Uchaguzi 2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

Uchaguzi 2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

Hahaha CCM hata wangefanya mkutano leo, kura zote kwa Lissu.
 
HIVI KUNA WATU BADO HUWA WANAANGALIA 'tv?!! Nshasahau kabisa kama kuna kitu kama hicho.
 
Umelewa eti, mtachanyikiwa sana, wizi wenu wote na mbinu zote chafu zinazidi kufichuliwa. Kumbe madaraja hamyaamini tena kama yatawasaidia kwenye uchaguzi huu, tuliwaambia nchi haiendeshwi kama vile ina wizara moja tu ya ujenzi
Subiri hadi kesho jioni bwana mdogo, leo si ndio fainali?
 
Tunasubiri maelekezo ya rais wetu TAL tuwafanye nini watu hao
 
Hivi jamani mnaangalia TBC kutafuta Nini? Kama TV yako haina channels nyingine, si uweke movie iangalie? TBC Imeshapoteza credibility ya kuitwa tv ya Taifa.
 
Aibu Yao, matokeo yatawahukumu .waanze kutafuta ajira zingine
yani hata kama anataka kuhubiri hadi asubh. kama walikuwa wataka wangefunga tu na chaneli zote. ibaki hiyo tbisi na chn10 hewani labda ndo tungesumbuka.

by the way mwambieni anapoteza muda tumeshamilizana.
 
Ajabu sasa hao hao ndio wanashinda, yaani Meku ndio raisi wako. Inauma Ila ndio hivyo mkuu.

Hashindi, hajawahi kushinda, 2015 waliiba, na 2020 wameshaanza kuiba.
Wamezima simu zetu, wametuzimia umeme.

Mijizi inapenda sana giza.
 
Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM...
Mkuu bora umeelimishwa. Kapige kura kwa JPM tafadhali
 
Huyo dikteta meku asahau ushindi, otherwise alazimishe tumpeleke the Hague
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kuna watu mlivuta bhangi kabla ya kwenda kupiga kura Nini dah nimecheka sana
 
Huyo mchambuzi amechelewa sana, watanzania walishaamua toka siku kadhaa kumwondoa madarakani Magufuli ili kumweka madarakani Tundu Lissu. Leo watanzania wanahamasishana kwenda kupiga kura na kulinda kura zao.
Tume isiyo huru ya uchaguzi tayari wanafanya wizi wa kura watamtangaza magufuli kwa nguvu bila kujali kuwa siyo chaguo la watanzania
 
Hivi jamani mnaangalia TBC kutafuta Nini? Kama TV yako haina channels nyingine, si uweke movie iangalie? TBC Imeshapoteza credibility ya kuitwa tv ya Taifa.
Hako kativii ka kishamba sana hakuna mtu mwenye weledi anaitizama TBC tena
 
Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM.

Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya Magufuli.

Mnatuona Watanzania kuwa ni wajinga sana kiwango hiki?
Dah...[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Tume isiyo huru inaenda kuleta manung’uniko makubwa Nchini kote kwani itamtangaza magufuli kuwa mshindi kwa kura nyingi pasipo hizo kura kuwa zake kwani hakuna wananchi wamchagua
 
Back
Top Bottom