Uchaguzi 2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

Mna wasiwasi gani sasa wakati mlisema hata mkisimamisha mti watu watapigia kura mti...acheni visingizio tuliwaambia hapa siasa ni sayansi sasa mpo kwenye reality mlialia.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mie huyu mchambuzi hata angekuja nyumbani kwangu asubuhi kunihamasisha nimpigie kura Jiwe isingesaidia kitu, kura yangu kwa TL ni given. Haijalishi!.
Yaani niamke asubuhi niache usingizi nikampigie kura Tundu Lissu...I can't waste my time to that extent.
Kura yangu kwa JPM ni given,no matter what.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…