TCRA imewataka watoa huduma za simu nchini kuweka utaratibu utakaomuwezesha mteja kuhamisha unit za kifurushi chake kwenda kwa mtumiaji mwingine aliye ndani ya mtandao wake.
Pia wametoa sharti la kiasi cha chini kuhamisha kutoka kwa mtumiaji kwenda kwa anayehamishiwa itakuwa kuanzia 250MB.
Hatua hiyo imetokana na uwepo wa malalamiko mengi kutoka kwa watumiaji kuhusu vifurushi vya simu.
Globalization. Wale jamaa zangu wanaosema kuna kiboko ya MABEBERU sijui huwa wanapewa japo kidogo kuhusu hii dhana?
Hawana cha kufanya wale TCRA labda kuifungia radio tena za watu binafsiSio huenda they are the major source of the problem.
Sio uenda ila they are real part of problem.Hivi hawa jamaa wanakusanya Kodi kiasi gani kwenye hivyo vifurushi ? Huenda they are part of the problem...
Nakuapia vitapunguzwa zaidi ya hapaSio huenda they are the major source of the problem.
GB moja shilingi 9'000/-Habari zenu wadau kama tcra walivyosema kutawekwa badiliko katika vifurushi hii ikiwemo na bei mpya je itaweza kukidhi haja zetu sisi watu wa kipato cha kawaida
π³ π³ π³Za Chini ya kapeti taarifa zinasema hakutakua na Vifurushi Tena Tunarudi Kama Zamani Kupiga Kavu Kavu.π€π€
Nimecheka sana mkuu!Nimepokea sms mfululizo leo kuhusu hili, ngoja tusubiri.
Nasubiri ile option ya kuhamisha data kwenda simu nyingine. Kijijini kwa bibi kuna watu wana GB 20 halaf hawana matumizi nayo.
GB moja shilingi 9'000/-
Unaingiza Sh. ngapi kwa siku?Mbona Bei Ndogo Ivi?? Watapata Faida Kweli Ndugu Zetu Wa Mitandao?
Hujamuelewa hebu "negate" hiyo condition...Unaingiza Sh. ngapi kwa siku?
Upo serious mkuu!! Ndogo hiyo 9000??Mbona Bei Ndogo Ivi?? Watapata Faida Kweli Ndugu Zetu Wa Mitandao?
Asee cjh tunaelekea wap 9000 duuuuhGB moja shilingi 9'000/-