TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.

Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!

Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
Bado ni upimbi wanaumia nin kama nina simu tano na zote natumia voda labda nyingine ni data nyingine miamala na nyingine kupiga
 
Kwa nini wanaweka ukomo huu?

Nikiamua kuwa na line moja ya internet tu, na line nyingine ya kuongea tu, hapo kuna tatizo gani?

Nikiamua kutenganisha line ya mambo ya biashara zangu na line ya mambo ya binafsi ili niweze ku reconcile mapato na matumizi kihasibu vizuri zaidi, tatizo liko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ya viwonder
 
Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.

Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!

Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
Sasa kwanini umpangie mtu hivyo?Kwani shida iko wapi nikiwa nina laini 5 za voda na nimesajili?Waache ujinga!
 
Sheria inasema hurusiwi kumiliki zaidi ya sim card moja kutoka kwa kampuni moja ya simu. Pili unaruhisiwa kumiliki sim card hadi nne tu kutoka kampuni za simu tofauti.
 
Wanataka iwe Rahisi kudukua mawasiliano ya Viongozi Wa upinzani na wale wenye mawazo tofauti na Wao,.

hasa huu Mwaka wa Uchaguzi, ni sababu za kisiasa tu hawana sababu nyingine
 
Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.

Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!

Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
Shida ni kuongozwa na Viongozi washamba na malimbukeni...kumewaathiri sana wanaNchi wa Taifa hili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
June 30,2020,
Happ lazima milioni tano tano zikusanywe kwa wingi maana watu hawana taarifa juu ya hii sheria
Kabisa isee. Binafsi Nina line 4 za mtandao moja na zote nimesajili kwa alama za vidole.
1. Natumia mwenyewe
2. Iko nyumbani kwa mawasiliano na binti wa kazi lolote likitokea nipate taarifa kwa wakati.
3. Binti wa dukani kwenye kibiashara kangu.
4. Dogo wa shamba ambako ninafuga.
Line zote hizi nazihitaji kwa matumizi yangu tena ziko kwenye mtandao moja ili kupunguza gharama za mawasiliano.

Tusijenge nchi kwa pesa za dhuluma tafadhali.
 
Tanzania ya viwonder
Hawajui kukataza line zaidi ya moja ya simu kwa mtandao mmoja ni kujipunguzia kodi wao wenyewe?

Huku kwi gine watu wanajua biashara wanakwambia ukichujua line mija, ya pili wanakupa discount!

Na serikali ikiingikia biashara za watu inapigwa ma lawsuits mpaka inajuta.

Wanasheria wa Tanzania wanafanya kazi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi mpotoshaji

Kumiliki laini mbili mtandao mmoja inawezekana isipokuwa ukihitaji kumiliki zaidi ya mbili mtandao mmoja, kuna form unatakiwa kujaza sababu ya kuhitaji kumiliki laini zaidi ya mbili.
 
Sheria iko wazi,kwa individual Ni line moja tu,labda uwe na machine Kama computer, tablet etc ndo unaruhusiwa nne maximum Kama sikosei kea ajili ya machine to machine communication,na Happ mpaka utoe maelezo,
Tunaongelea individual to individual communication mfano umesajili laini ukampa Bibi kijijini,housegal etc Ni marufuku
 
Iwe kama China huwezi kuwa na laini 2 bila sababu.
Pia tupewe namba za simu zinazodumu milele, tusiweze ibadilisha kamwe hata UFE

Sent using Jamii Forums mobile app
tumia akili kidogo kuna maeneo nchini mengi tu hayana baadhi ya mitandao mtu yupo matombo kuna mtandao wa voda tu akienda kisaki kuna airtel tu utamsaidiaje mtu kama huyo?
 
Kwa hiyo kuna zoezi kingine la kutufungia sie wenye laina zaidi maoja kwa mtandao mmoja.

Hii serikali kwa nini imewekeza sana kwenye kudhibiti mawasiliano ya wananchi wake.
 
Back
Top Bottom