TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

Kwani shida ipo wapi sasa kama hawatawayumbisha tigo na voda? [emoji848]

Kama ni ya watu wenye pesa shida ipo wapi watu wakitumia pesa zao wanapotaka wao wenyewe?

Kama shida ni upatikanaji wa vifaa kwan hilo ni tatizo la taifa au la wateja? Ni magari mangapi au mashine ngapi tunanunua na vipuli au spear ni za kuagiza hakuna hata wakala hapa tz?

Shida ni ipi hadi kupangiana Maisha na nini cha kutumia?

Why jambo ambalo limeshindikana watu wasitafute suluhu kwa ISP wakubwa kama Star link?

Nadhani hapa kinachoendelea ni tabia zile zile za ukiritimba na uzembe unaofanya taifa liwe slow na kuchelewa kufika maendeleo.

Nina uhakika angekuwa magufuli angeshamtimua Nape na kumpa Elon kibali mchana kweupe.

Kwan lazima ajenge ofisi kwanza si anaweza kuoperate hadi atakapoona ulazima wa kuweka physical offices ataweka kwa muda wake. Why iwe shida?

Acheni mambo yenu bana mnatia hasira sana.
 
Tanzania haina maendeleo sababu kuna watu wachache wasio na uwezo wala viwango vya uongozi wamekalisha matako yao kwenye viti vya ofisi za nyadhifa ambazo hawazimudu.

Ni muda muafaka sasa vijana tukaze huu upumbavu uishe. Mtu anakatalia kitu ambacho kitaleta mapinduzi makubwa sana ya kimaendeleo kwasababu ya tumbo lake kama mimba ya kiboko.
 
Hivi hakuna uwezekana tukapa hizi huduma kama vile google, netflix n.k. Unalipia zako unapata access yake maisha yanaendelea tuwaache mabumunda
 
Wewe Zemanda nenda ukazikwe pembeni ya kaburi lake ili upunguze machungu. Pia elewa Nape ni kiongozi mkuu wa wizara ila chini yake kuna wataalamu kibao. Pia jambo kama hilo lazima linajadiliwa na baraza la mawaziri. Wahusika ni wengi sana kwenye hilo. Chuki zenu dhidi ya Nape ni za kipumbavu sana. Nape anasimamia maslahi ya taifa zima na sio maslahi ya wewe Zemanda na wajinga wenzio. Alishasema Mwigulu mhamie Burundi. Fuateni ushauri wa Mwigulu.
 
Vodacom wameanza kurudisha huduma taratibu.

Ndugu mteja, tumefanikiwa kurudisha huduma za intaneti kwa kiasi. Kwa sasa unaweza kupata intaneti yenye spidi hafifu, tukijitahidi kurudisha huduma kikamlilifu. Huduma kupitia menyu zetu zinapatikana. Tunashukuru kwa uvumilivu na uelewa wako.
 
Wanakera sana hawa pimbi , ni ubinafsi wa kipumbavu wa watz .
Imagine kuna mwalimu au mwanafunzi au mtu yeyote yuko huko kijijini remote kichizi na ana kifaa cha mawasiliano ila kukitumia ni shida , unakuta mtu ana nishati ya solar ila mawasiliano ni shida , ndio maana hata walimu na watumishi wengine wanapangiwa vijijini wanaamua kukimbia , sababu ya poor living conditions , hasa ukizingatia mawasiliano hasa internet ni kitu cha muhimu sana zama hizi
 
😂😂😂Huu mkongo unazidi kua bei ghali mpk internet inakua mazwazwa kwer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…