TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

Maandishi mengi ila ushuzi mtupu. Ndo maana Mwigulu alisema watu kama nyie mhamie Rwanda. Utaratibu wa Starlink ni wa hovyo mno kiasi kwamba nchini Zambia wanaotumia Starlink ni wachache mno. Ofisi zikiwepo Tanzania itasaidia kupata vifaa na huduma zao kirahisi badala ya huu mwanya wa kuwaachia madalali kazi ya kuwaagizia watu. Kosa walilofanya nchi zingine ndo hatutakiwi kulifanya sisi. Nalo ni Starlink kutokuwa na ofisi kwenye nchi husika. Ukitoa speed ya internet hakuna kingine chenye unafuu kwenye starlink. Hata wakipewa vibali leo hii hawataweza kuziyumbisha Vodacom, Tigi na wengine kwenye biashara zao. WANANCHI MASKINI HAMHUSIKI NA STARLINK. HIYO NI KWA AJILI YA WENYE FEDHA ZAO.
Kwani shida ipo wapi sasa kama hawatawayumbisha tigo na voda? [emoji848]

Kama ni ya watu wenye pesa shida ipo wapi watu wakitumia pesa zao wanapotaka wao wenyewe?

Kama shida ni upatikanaji wa vifaa kwan hilo ni tatizo la taifa au la wateja? Ni magari mangapi au mashine ngapi tunanunua na vipuli au spear ni za kuagiza hakuna hata wakala hapa tz?

Shida ni ipi hadi kupangiana Maisha na nini cha kutumia?

Why jambo ambalo limeshindikana watu wasitafute suluhu kwa ISP wakubwa kama Star link?

Nadhani hapa kinachoendelea ni tabia zile zile za ukiritimba na uzembe unaofanya taifa liwe slow na kuchelewa kufika maendeleo.

Nina uhakika angekuwa magufuli angeshamtimua Nape na kumpa Elon kibali mchana kweupe.

Kwan lazima ajenge ofisi kwanza si anaweza kuoperate hadi atakapoona ulazima wa kuweka physical offices ataweka kwa muda wake. Why iwe shida?

Acheni mambo yenu bana mnatia hasira sana.
 
Wewe ni kilaza na taahira kama huyo Mwigulu taahira mwenzako.
Umelazimishwa kununua ?
Coverage ya satelites based internet service ni more wide na reliable , inafika mpaka kwenye remote places ambapo fiber based networks ni ngumu kutandazwa ,
Speed ni kubwa ambayo ni karibia mara nne ya speed ya kutransmit data Kwa microwave towers na fiber networks na hizo sea cables .
Ni maeneo mengi humu humu Tanzania tena kwenye mikoa hii hii ambayo imepewa hadhi ya kuwa majiji hakuna huduma ya internet , watu wanaishi enzi za zama za mawe , ingekuwepo huduma ya starlink ,hayo maeneo yangefikiwa kwa haraka na kwa ufanisi mkubwa na watu wakawa civilised Kwa kupata huduma ya mawasiliano ya internet more reliable na Kwa muda mfupi .
Wewe ni mpumbavu usiyejua lolote ,ni bora ukae kimya .
Starlink ndio hawa hawa mpaka leo wanatoa huduma pale Ukraine baada ya miundo mbinu ya telecommunications ya Ukraine kuharibiwa na Russia , kuanzia kwa matumizi ya wananchi mpaka kwenye jeshi ,kuoperate mitambo ya mawasiliano na Gps kwenye uwanja wa mapambano ,ni Starlink ndio huduma zao zinatumika .

Sasa mpumbavu kama wewe usiyejua lolote kuhusu telecommunications unaandika upuuzi hapa na kuargue upuuzi .
Kakojoe ulale ,akili kisoda
Tanzania haina maendeleo sababu kuna watu wachache wasio na uwezo wala viwango vya uongozi wamekalisha matako yao kwenye viti vya ofisi za nyadhifa ambazo hawazimudu.

Ni muda muafaka sasa vijana tukaze huu upumbavu uishe. Mtu anakatalia kitu ambacho kitaleta mapinduzi makubwa sana ya kimaendeleo kwasababu ya tumbo lake kama mimba ya kiboko.
 
Hivi hakuna uwezekana tukapa hizi huduma kama vile google, netflix n.k. Unalipia zako unapata access yake maisha yanaendelea tuwaache mabumunda
 
Nina uhakika angekuwa magufuli angeshamtimua Nape na kumpa Elon kibali mchana kweupe.

Kwan lazima ajenge ofisi kwanza si anaweza kuoperate hadi atakapoona ulazima wa kuweka physical offices ataweka kwa muda wake. Why iwe shida?

Acheni mambo yenu bana mnatia hasira sana.
Wewe Zemanda nenda ukazikwe pembeni ya kaburi lake ili upunguze machungu. Pia elewa Nape ni kiongozi mkuu wa wizara ila chini yake kuna wataalamu kibao. Pia jambo kama hilo lazima linajadiliwa na baraza la mawaziri. Wahusika ni wengi sana kwenye hilo. Chuki zenu dhidi ya Nape ni za kipumbavu sana. Nape anasimamia maslahi ya taifa zima na sio maslahi ya wewe Zemanda na wajinga wenzio. Alishasema Mwigulu mhamie Burundi. Fuateni ushauri wa Mwigulu.
 
Vodacom wameanza kurudisha huduma taratibu.

Ndugu mteja, tumefanikiwa kurudisha huduma za intaneti kwa kiasi. Kwa sasa unaweza kupata intaneti yenye spidi hafifu, tukijitahidi kurudisha huduma kikamlilifu. Huduma kupitia menyu zetu zinapatikana. Tunashukuru kwa uvumilivu na uelewa wako.
 
Tanzania haina maendeleo sababu kuna watu wachache wasio na uwezo wala viwango vya uongozi wamekalisha matako yao kwenye viti vya ofisi za nyadhifa ambazo hawazimudu.

Ni muda muafaka sasa vijana tukaze huu upumbavu uishe. Mtu anakatalia kitu ambacho kitaleta mapinduzi makubwa sana ya kimaendeleo kwasababu ya tumbo lake kama mimba ya kiboko.
Wanakera sana hawa pimbi , ni ubinafsi wa kipumbavu wa watz .
Imagine kuna mwalimu au mwanafunzi au mtu yeyote yuko huko kijijini remote kichizi na ana kifaa cha mawasiliano ila kukitumia ni shida , unakuta mtu ana nishati ya solar ila mawasiliano ni shida , ndio maana hata walimu na watumishi wengine wanapangiwa vijijini wanaamua kukimbia , sababu ya poor living conditions , hasa ukizingatia mawasiliano hasa internet ni kitu cha muhimu sana zama hizi
 
Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk Jabir Bakari amelithibitisha hilo alipotafutwa na Mwananchi Digital leo Jumapili Mei 12, 2024.

"Kunaonekana kuna tatizo la kiufundi kidogo linalohusiana na 'marine cables' kwa hiyo tunajaribu kupata maelezo zaidi," amesema Dk Bakari.

Dk Bakari amesema kwa sasa wanaangalia namna ya kupata taarifa zaidi ili kujua ilipo changamoto ili kuchukua hatua.

Tatizo la mtandao wa intaneti limeanza tangu saa 4 asubuhi na hadi habari hii inapoandikwa saa 7.10 mchana huduma hiyo haijarejea.
😂😂😂Huu mkongo unazidi kua bei ghali mpk internet inakua mazwazwa kwer
 
Back
Top Bottom