Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hapo sasa.Kwani kiongozi Mweshimiwa Lugola si alisema kwamba laini hazitafungwa.....this is tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa.Kwani kiongozi Mweshimiwa Lugola si alisema kwamba laini hazitafungwa.....this is tanzania.
Tena shenzi na majibwa kweli kweli..wafunge tu wanamtisha Nani?
lengo ni nini?Hakuna laini ata moja itafugwa, hizo ni propaganda na vitisho pamoja na mikwara kwa raia.
Na huu ndio ukweli hakuna mwingineHakuna laini ata moja itafugwa, hizo ni propaganda na vitisho pamoja na mikwara kwa raia.
Lengo lake mwishoni atatokezea mheshimiwa sana raisi wa wanyongwe na kuamrisha kwa kelele nyingi sana hakuna kufungia laini ya wananji halafu wananji watasherehekea safi sana jiwe laisi sio raisi wa wanyongweeeeelengo ni nini?
Siunawafuata ofisini wanatoa hela yako kwani wamefunga hela au rainitoa mapema, maana mitandao mingine washakinukisha tayari
Hizi hazihusiki na kufungiwa mkuu...na zinafanya kazi hapa bongo?Mimi nina line ya ATN na SafariCom. Hizi zao wafunge tu. Tutalipa kodi Kenya na Uganda
Poleni msio na national ID. Ila kwanini wasitumie na driving license kusajili
Watakuwa wamefunga "raini"Siunawafuata ofisini wanatoa hela yako kwani wamefunga hela au raini
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mimi nina line ya ATN na SafariCom. Hizi zao wafunge tu. Tutalipa kodi Kenya na Uganda