TCRA: Laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa namba za NIDA zitafungwa kufikia Desemba 31, 2019

TCRA: Laini zote ambazo hazijasajiliwa kwa namba za NIDA zitafungwa kufikia Desemba 31, 2019

hii nchi bana, raisi anasema hivi tcra nao wanasema hivi ina maana wanampinga raisi sasa wasubiri rungu kama halijawadondokea
Kuna waziri naye aliliongelea. Inaonekana TCRA ni kamhimili kanakotaka kujichimbia chini zaidi ya mwenzake.
 
Nida ni Bure kabisa sasa vitambulisho hawajatoa hata kwa nusu ya watanzania leo wanataka wafunge Laini hao jamaa wakapimwe akili hata kama wana pressure watu wasajili line kwa biometric ila sio kiivo sasa piga chini boss wa TCRA na NIDA
 
Napenda kufahamu tu, wageni toka nje hawawezi kuwa na line za simu tena?
Wageni pia wanatambuliwa na NIDA na wana ID za nida ambazo zinataja Nationality yao ni wapi ila pia kama una passport ambayo ndio International ID unaweza kusajili line nchi yoyote bila usumbufu
 
Huyu anasema hivi,yule anasema vile.
Hivi kwanini wasimpe Haji Manara cheo cha msemaji wao.
x100. Mwandishi wa habari naye kachanganya madesa kuanzia kwenye heading, contents vyote hakuna kinacho eleweka kwa ufasaha.
 
Na wageni ambao hawaishi nchini ambao sio raia wa tanzania watafanyeje na wenyewe??ina maana hawataweza kutumia simu Tanzania??
 
Lengo lake mwishoni atatokezea mheshimiwa sana raisi wa wanyongwe na kuamrisha kwa kelele nyingi sana hakuna kufungia laini ya wananji halafu wananji watasherehekea safi sana jiwe laisi sio raisi wa wanyongweeeee
Lakini jiwe si alisema hazitafungiwa,?wakizifungua nitajua tuna rais jitul tapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mfano nina line mbili za voda, moja nilipewa na offisi na nyingine ni yangu binafsi hii inakuaje,watafungia moja moja ama?
 
Huyu anasema hivi,yule anasema vile.
Hivi kwanini wasimpe Haji Manara cheo cha msemaji wao.
TAARIFA ZA AWALI ILISEMA HAMNA LAINI ITAKAYOFUNGWA. SASA HII TAARIFA HII NI KUCHANGANYA WANANCHI MAANA SIO KWAMBA WATU HAWATAKI KUSAJILI LAINI ILA HAWANA VITAMBULISHO KWA SABABU NIDA WAMESHINDWA KUTOA HUDUMA KWA WAKATI
 
Hivi si kuna baadhi ya laini za nje zinatumika kibongo bongo hapa au nazo zitafungiwa?
 
Tusubiri tu hiyo tarehe ifike ila naamini laini hazitafungwa,watu wengi hawana namba Wala kitambulisho Cha NIDA naamini serikali itaongeza muda wa kusajili kwa alama za vidole
 
Back
Top Bottom