Tuleteeni tracking system kwa IMEI kwa simu tunazoibiwa, hii ya line haina msaada kwa mwananchi“Laini inapopotea ikachukuliwa na mwingine anaitumia vibaya lakini kwa kuwa na neno la siri, itamlinda mtumiaji na kuondokana na utumiaji usio salama,”alisema.
Polisi watakosa kupiga hela maana ndio system waitumiayo kwa msaada wa makampuni husika ya huduma za simu.Tuleteeni tracking system kwa IMEI kwa simu tunazoibiwa, hii ya line haina msaada kwa mwananchi
Sasa hii si kutoa notice tu kuwa kila mmiliki wa line ya simu (simcard) asiache line yake bila kuweka password? Mbona ni simple so far wengi wanaweka hizo password kwa simcard as well as device yenyewe yaani simu (kifaa)Ndugu Mteja, laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri ambalo Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama....
Utajuaje kama wanafanya kazi na kujua kuwa wapo, mie laini yangu ina password, nikizima simu nikiiwasha lazima niweke password ya kufungua simu then password ya kufungua lini, hawana jipyaSasa hii si kutoa notice tu kuwa kila mmiliki wa line ya simu (simcard) asiache line yake bila kuweka password? Mbona ni simple so far wengi wanaweka hizo password kwa simcard as well as device yenyewe yaani simu (kifaa)....
Majority ipo ivo, they should come up with new thing bana.Utajuaje kama wanafanya kazi na kujua kuwa wapo, mie laini yangu ina password, nikizima simu nikiiwasha lazima niweke password ya kufungua simu then password ya kufungua lini, hawana jipya
Ndo hizohizo mbona Airtel walianza kuzitoa muda mrefu tu.Nina line mpya na tayari ina Pin. Ukijisahau kama una watoto wakaizima na kuiwasha na kuibonyeza mara3 inajiblock na kudai PUK
Yani laini inakua na pin.
Ukiwasha simu laini inakutaka kwanza uweke pin,sindio mkuu?
...Hivi hawa Watu hawana Kazi ya kufanya huko maofisini Mwao zaidi ya kutunga mambo yasiyo na Msingi wala Ulazima??Ndugu Mteja, laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri ambalo Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama....
Nimecheka sana nilipopata hii msg leo mpaka nikasahau msiba. Tunalazimishana kuweka password sijui nchi gani ina huu mfumo wa ajabu. Bila shaka ni ushauri wa ndungulie au huwenda nao msiba umewachanganya”Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake”.