TCRA: Laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri, Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama

TCRA: Laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri, Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama

“Laini inapopotea ikachukuliwa na mwingine anaitumia vibaya lakini kwa kuwa na neno la siri, itamlinda mtumiaji na kuondokana na utumiaji usio salama,”alisema.
Tuleteeni tracking system kwa IMEI kwa simu tunazoibiwa, hii ya line haina msaada kwa mwananchi
 
Ndugu Mteja, laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri ambalo Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama....
Sasa hii si kutoa notice tu kuwa kila mmiliki wa line ya simu (simcard) asiache line yake bila kuweka password? Mbona ni simple so far wengi wanaweka hizo password kwa simcard as well as device yenyewe yaani simu (kifaa)

Hii mikanganyiko mingine ndo inaleta maswali yasiyo ya msingi.

Kama serikali ina hoja ije na hija ya msingi yenye mashiko na isiyo na mikanganganyiko km hii!!
 
Sasa hii si kutoa notice tu kuwa kila mmiliki wa line ya simu (simcard) asiache line yake bila kuweka password? Mbona ni simple so far wengi wanaweka hizo password kwa simcard as well as device yenyewe yaani simu (kifaa)....
Utajuaje kama wanafanya kazi na kujua kuwa wapo, mie laini yangu ina password, nikizima simu nikiiwasha lazima niweke password ya kufungua simu then password ya kufungua lini, hawana jipya
 
Utajuaje kama wanafanya kazi na kujua kuwa wapo, mie laini yangu ina password, nikizima simu nikiiwasha lazima niweke password ya kufungua simu then password ya kufungua lini, hawana jipya
Majority ipo ivo, they should come up with new thing bana.

Hivi TCRA wanashindwa nini kushirikiana na COSTECH na BOT kutengeneza App moja ambayo ita centralize mobile money za mitandao yote ambayo ingeweza kuwaachia % ya each transaction pale wamekaa kuwaza password za simcard dah...shughuli ipo.
 
Kwani sim card za sasa mbona zina hiyo option? Hawa jamaa wanatafuta namna ya kudeal na wakosoaji!
 
Nime kutana na PIN kwenye line mpya ya halotel. Inakera kichizi ila naelewa kwanini imewekwa.

Tukumbuke kuwa, vitu vinawekwa kulingana na mahitaji na malalamiko.

1. Tuli lalamika wapigaji mtandaoni, wale wa tuma kwenye namba hii.
- Wakaleta fingerprint ili watu hao waweze patikana. Ukiangalia wizi wa namna hiyo, umepungua sana.

2. Tuka lalamika inakuwaje mtu akiiba au kuokota line yangu na kuitumia kwa uhalifu? Maana fingerprint ita onyesha line ni yangu na nitakamatwa mimi.
- Wamekuja na kuweka PIN kwenye line. Ili hata kama ikiibiwa, akizima au ikizima asiweze itumia.

Sasa tuna lalamika kwanini wamefanya haya mambo. Tukumbuke malalamiko yetu wenyewe.
 
Mimi nadhani ni ili kuzuia hawa raia wanao semaga tuma ile hela kwenye namba hii. So kuna uwezekano ili kubadili hiyo namba ya siri lazima ujaze vitu flani flani wewe ukiwa kama mteja, hii ni baada ya wakala.wa usajili kuwa na janja janja nyingi kusajilia watu line kwa namba za watu.
 
Ndugu Mteja, laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri ambalo Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama....
...Hivi hawa Watu hawana Kazi ya kufanya huko maofisini Mwao zaidi ya kutunga mambo yasiyo na Msingi wala Ulazima??

Hivi baada ya Mshike mshike wa NIDA na Alama ya Kidole Gumba, kuna haja ya lipi tena LA kuwasumbua Mwananchi...??
 
”Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake”.
 
Nadhan ni kwa watakaoanza kusajili laini mpya kwanzia hiyo julai.

Ila tusubiri wajuzi zaidi.
 
Mmh huko nako sitaki kuna kitu sikielewi, au kutakua na usajilli mwingine
 
”Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake”.
Nimecheka sana nilipopata hii msg leo mpaka nikasahau msiba. Tunalazimishana kuweka password sijui nchi gani ina huu mfumo wa ajabu. Bila shaka ni ushauri wa ndungulie au huwenda nao msiba umewachanganya
 
Back
Top Bottom