Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 273
- 251
Itakuwa ni watu waoKwa kweli wachukue hatua kali, bado hakuna mabadiliko yoyote.
Kila ukiripoti namba za utapeli kwa ile namba yao maalumu (15040) unatumiwa tena ujumbe wa kitapeli kupitia hiyo hiyo namba uliyoiripoti baada ya muda kama wiki mbili hivi.
Kwa nini liwashinde hili? Au wana watu wao wanaofanya huo utapeli?
Ambae atafungiwa kimakosa atafika ofisi husika ili akajieleze zaidiKuna ishu ya Identity theft ;
Ukizifungia hizo nida unaweza umiza watu wasiokuwa na hatia.
Better thoughtsSio wazo zuri.Mawakala wanaozurula mitaani wanasajilia watu laini bila mwenye nida kujua.
Wazo zuri ni unapotaka kutoa hela kwa wakala uwekwe mfumo wa kuweka kidole,kama laini unayotoa hela sio yako kidole kitagoma hela aitotoka.
Nimeipenda hiiTCRA matapeli wa tuma kwa namba hii dawa yao ni moja Ban NIDA iliyosajili hizo namba, pamoja na ku Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA
TCRA chukueni ushauri wangu mtateketeza matapeli wote ndani ya miezi mitatu
Swala la utapeli wa meseji za tuma kwenye namba hii ni kama limewazidi akili mpaka sasa hamjafanikiwa kuteketeza hawa wahalifu
Turejelee kuwa namba za hawa matapeli zinakuwa zimesajiliwa na Kitambulisho cha Taifa NIDA kwahiyo mhalifu anaweza kusajili zaidi ya namba moja kwa kutumia hicho kitambulisho jambo ambalo mki Ban namba moja anaweza kuendelea na nyingine zilizobakia
Dawa ya kuteketeza uhalifu huu ni kuwa baada ya kuthibitisha namba hiyo imetuma meseji za kihalifu kwanza kabisa Ban NIDA iliyosajili hiyo namba isiweze kusajili namba nyingine na baada ya hapo Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA kwasababu mmiliki wa hizo namba nyingine ni huyohuyo mhalifu mwenye hiyo NIDA
Ikiwa kuna mtu atakayeonewa akidai kwamba NIDA yake imesajili namba pasipo yeye kujua afike ofisi zenu kuthibitisha lakini hiyo ni baada ya NIDA pamoja namba zake zote kuwa Blacklisted
Unavyoongea ni kama haiwezekani kukukuta wewe.Ambae atafungiwa kimakosa atafika ofisi husika ili akajieleze zaidi
TCRA matapeli wa tuma kwa namba hii dawa yao ni moja Ban NIDA iliyosajili hizo namba, pamoja na ku Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA
TCRA chukueni ushauri wangu mtateketeza matapeli wote ndani ya miezi mitatu
Swala la utapeli wa meseji za tuma kwenye namba hii ni kama limewazidi akili mpaka sasa hamjafanikiwa kuteketeza hawa wahalifu
Turejelee kuwa namba za hawa matapeli zinakuwa zimesajiliwa na Kitambulisho cha Taifa NIDA kwahiyo mhalifu anaweza kusajili zaidi ya namba moja kwa kutumia hicho kitambulisho jambo ambalo mki Ban namba moja anaweza kuendelea na nyingine zilizobakia
Dawa ya kuteketeza uhalifu huu ni kuwa baada ya kuthibitisha namba hiyo imetuma meseji za kihalifu kwanza kabisa Ban NIDA iliyosajili hiyo namba isiweze kusajili namba nyingine na baada ya hapo Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA kwasababu mmiliki wa hizo namba nyingine ni huyohuyo mhalifu mwenye hiyo NIDA
Ikiwa kuna mtu atakayeonewa akidai kwamba NIDA yake imesajili namba pasipo yeye kujua afike ofisi zenu kuthibitisha lakini hiyo ni baada ya NIDA pamoja namba zake zote kuwa Blacklisted
Hiki ndicho nnachokijua ila sio hicho alichoongea huyo ngumbaru hapo juuKuna mtindo huwa wanatumia ku reserve fingerprint yako. Unaweka kidole mara ya kwanza wanakuambia haijakubali, watakuambia uweke mara ya pili hata mpaka mara tatu. Ukiona hivyo ujuwe kuna uwezekano taarifa zako akaja kuuziwa mtu mwingine asiyekuwa na NIDA ili asajili laini kwa jina lako.