Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
GENTAMYCINE acha upopoma ku critisize upumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barida,...!!Yameisha wengine kuchambana hatuwezi,umeshinda.
Tuko katika 'Mipango' ya Kumuweza tu.Ndiyo hammuwezi sasa !!.
Matusi ni dalili ya kuishiwa hojaYou're just a ' Wasted Sperm ' Creature.
Jibu hojaKama neno Ufirauni hulijui utaweza kweli Kuielewa Nadharia pana ila Hasi iliyojaa katika Vichwa vya Watanzania wengi kuhusu neno la kwa Mpalange?
Acha Kunipotezea muda na usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa Upumbavu wako wa Kurithishwa sawa? Wapishe walionielewa wajadili Mada hii.
Vyako Wewe vikubwa ulivyodili navyo ni vipi? Mnafiki mkubwa Wewe hebu tutokee hapa tafadhali.Tanzania tuna deal na vitu vidogo dogo sana
Taahira kama Wewe ' JF ' haunisumbui.Jibu hoja
Jibu hoja
Tukuelewe
Acha kubwabwaja
Kwa mpalange ni yombo
Na ni jina la mtu hayo mengine yanatoka wapi
Wajinga wachache kwa mawazo yao ya kijinga wanataka kutulazimisha kuharibu lugha yetu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Punguza jazba mkuuVyako Wewe vikubwa ulivyodili navyo ni vipi? Mnafiki mkubwa Wewe hebu tutokee hapa tafadhali.
Inafaa uwe milembe siyo bureTaahira kama Wewe ' JF ' haunisumbui.
...na TTCL na 'Nitie Nikutie' yao??Halafu hawa Klauzi wanalo lile tangazo la Tigo linalosema "cha asubuhi".
Nchi hii ipo morally corrupted totally. Ndiyo maana tunapoteza hata marais wakali wapo madarakani. Mungu hapendi hivi, damn!