TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

Mimi Nafikiri hili la kutumia sauti ya Rais aliyemadarakani au aliepita sio tatizo kweni Rais ni public figure na ni mali yetu la kuzingatia lisitumike katika kushalilisha wengine au kumdhalilisha Rais alie au asie madarakani. Ili kupata public attention vitu kama hivi hutumika la msingi ni kumshirikisha kwa kumtaarifu kwa asie madarakani au kuomba kibali cha mamlaka ya Urais kwa alipo madarakani.
 
Tukumbuke hotuba, majarida na sauti za viongozi wetu huhifadhiwa kwa minajili ya Umma na vizazi vijavyo. Ni public property na sio mali binafsi ya Rais. Vitu hivi vinaweza kunukuliwa ili kuleta au kujenga hoja katika hotuba nyingine, majarida au hata thesis za kitaaluma. Vibali maalumu vyaweza kuhitajika kutoka National archives kama sijakosea. Mwenye uelewa zaidi aongezee hapa.
 
Washapewa Uhuru na saiv kila mtu kashaambiwa anahaki ya kutoa maoni tutegemee kusikia mengi
 
Kama neno Ufirauni hulijui utaweza kweli Kuielewa Nadharia pana ila Hasi iliyojaa katika Vichwa vya Watanzania wengi kuhusu neno la kwa Mpalange?

Acha Kunipotezea muda na usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa Upumbavu wako wa Kurithishwa sawa? Wapishe walionielewa wajadili Mada hii.
Jibu hoja
Jibu hoja
Tukuelewe
Acha kubwabwaja
Kwa mpalange ni yombo
Na ni jina la mtu hayo mengine yanatoka wapi
Wajinga wachache kwa mawazo yao ya kijinga wanataka kutulazimisha kuharibu lugha yetu



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Jibu hoja
Jibu hoja
Tukuelewe
Acha kubwabwaja
Kwa mpalange ni yombo
Na ni jina la mtu hayo mengine yanatoka wapi
Wajinga wachache kwa mawazo yao ya kijinga wanataka kutulazimisha kuharibu lugha yetu



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Taahira kama Wewe ' JF ' haunisumbui.
 
Mnausakama mtaa wetu Kwampalange mbona buza kubwa kuna Kwa Limboa na Kwa Lulenge mmeshupaza shingo kwa Kwampalange tu.
 
Mwenye kuigiziwa Sauti yake anasemaje?
Huenda kuna vijisenti anakamua kupitia tangazo kwenda hewani
 
Halafu hawa Klauzi wanalo lile tangazo la Tigo linalosema "cha asubuhi".

Nchi hii ipo morally corrupted totally. Ndiyo maana tunapoteza hata marais wakali wapo madarakani. Mungu hapendi hivi, damn!
...na TTCL na 'Nitie Nikutie' yao??
 
Back
Top Bottom