TCRA mnawezaje kutoa mamlaka kwa kampuni kuingilia mawasiliano ya mtu?

Kuna bwana mmoja alisema Mtanzania anapotaka kukopa huwa akili anaziweka kando hata masharti ya mkopo huwa hana muda wa kusoma kabisa. Mziki huja wakati wa ulipaji hapo ndipo anaanza kutumia akili tena.
 
...Usikope Kwa Matapeli. Kopa Benki...


Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Mnapoinstall hizo apps huwa mnaambiwa mtiki segemu kukubali terms and conditions mnatiki bila kusoma alafu kuna sehemu app inakuuliza ukubali app iweze access contacts zako, camera na kila kitu nyie huwa mnaona raha kuweka next, na kuendelea sasa madhara yake ndio haya mkuu, nape hawez kukutetea ulikubali terms and conditions , tulia calm down na lipa den la watu ofsa
 
...Usijisifu. Kuna Mahali Utakwama....

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
TCRA wakikutaka wala hawahitaji majina yako wala sura

Tutacheza na ip adress ya device zako tu

Otherwise uwe unabadili simu kila baada ya masaa matatu unatupa unanunua mpya
ukifanya hivyo utatumia miaka angalau mitatu kunipata na sio utanipata ndan ya nchi yako noo hapa penyewe nipo south A na ukijifanya unaniserch kutumia hizo mbinu zako ukaangalia location itakuonesha nipo mbeya kama unabisha njoo pm nikupe namba zangu unitafute, uone kwamba watu tumezamilia kutokulipa madeni, kama mtoa mada anavyolalamika afu usikute den lenyew buku saba posho ya siku ya enzi ya jamaa yetu chawa wa magu mr BIA YETU, na huyu wakutoa mada za kuisifu ccm mudawote lukas... nani siju
 
...Usijisifu. Kuna Mahali Utakwama....

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
itachukua muda kukwama, baba anahela, mama anacheo, kaka yupo usalama wa taifa na nikiongoz mkubwa huko, mimi mwenyewe pesa ninayo ya kutosha ya kwenda nchi yoyote dunian na kukaa miaka 25 kula tu bila kufanya kazi na kila siku itatumika angalau dolla 8000 sasa kama hadi wewe hujanijua bado unazan nani atanijua
 
Duu kweli wewe ni Pipa hasa!
 
Lipa denied acha porojo
Mlijua hawatawakamataaa njia ziko nyingi
 
Ile kadi ya nida ulihisi mwaliko wa harusi

Miijini shule mbayaaa nikusaidie makampun mengi n ya Kenya wako vizuri Sanaa mkuu siwezi toast siri hapa

Nikujuze tu kuna owner mmoja mkenya ana kampuni zina majina 7.........

Sasa fala mmoja akakopa 130k akalipa akaenda 190k akalipa akafika 300k..akaanza kuzungusha

Alichofanya akajua kawakimbia akaenda kwa fb akakopa kampuni nyingine wakampa akajua kasave..alipofikia 250k wakamsisitixa ukilipa tunakukopesha mpaka laki tano...ila uzichukulie orsini.. njoo na kadiserkl za mitaa .nida..ppt

Jamaaa Kareq 500,000..kawa confirmed njoo chukua ...kufkka ofisini akapewa kahawa..na biscuits

Akaja mfanyakazi wao akaanza kumuuliza maswali anaandika alipomaliza akamuliza ulishawahi kuwa na deni popotee hapana..

Unaonekana mlipaji mzuri sema ukifika pesa kubwa unakuwa mgumu kulipa..akajichanganya sijawahi kopa ndio nimeanza na ninyi

Wewe ::
akaletewa info...unaifahamu kampuni fulani ndio..ulishawahi kopa hapana...nahiizi info n zako ama za mwingine akakiri..mwisho wakaita wazee wakazi wakaenda nae mpaka kwake pita serkl za mitaaa nk....wakampa siku 14...

Asiache kulipa.. akaambiwa hio kampuni na hiii na ile na yenye jana hili na lile zotee n zetu nxtym usiwazw kuibia hawa makampuni utakamatwa tu

Jamaa akuwahi kukopa tenaaa mpakakesho

Sisemi na wewe umehamia kwingine kama una hako kawazo ndugu yale makampun majinina tofauti tu mmiliki mmoja..kukamatika n rahisi sana

Aldbest ulipedeni
 
TCRA wanahusika vipi na hilo wakati wewe mwenyewe ulipokua una install hiyo app ulikubali kuwapa access ya contacts zako zote?
Ulipowapa access ndiyo wakachukua hizo contacts na hata ukipotea wanaomba namba zako kwa kwa hao contacts wako.
Kingine, kwenye issue ya mikopo majina ya wakopaji wengi siku hizi yanawekwa kwenye pool. Kabla ya kukukopoesha wakitaka wanaweza kwenda kuangalia records zako kule kama una records za usumbufu kwenye kulipa.
 
Kwa kuchukua mkopo, maana yake umekubaliana na ‘Terms and conditions’ ambazo najua hukuzisoma. Kuna kipengele ambacho kinawapa haki ya kuaccess ‘phone book’ yako kupitia app yao uliyo-install na kuchukua contact zote. Mamlaka umewapa wewe mwenyewe.
 
Tukubaliane tanzania imekuwa shamba la bibi watu wanafanya watakavyo
 
Umemtaje napee unaomba jamvi msibani....
 
Ulinzi wa data zako unaanza na wewe. Unapoinstall app ya kukopa kuna masharti pale wata access contact zako. Na wewe ukakubali na ukakopa kwao. Sasa unapodaiwa dawa ni kulipa. Wana access na location pia.

Sasa unakopa kwenye kulipa unaita TCRA. LIPA DENi.
 
TCRA hawahusiki hapo ni wewe mwenyewe unampa developer access ku access contacts n.k.
 
Hao ndio miongoni mwa matapeli. Chama chao kinawaangaliatu. Polisi haina hata habari. Watu wapaze sauti dhidi ya matapeli makausha damu
 

Attachments

  • Screenshot_20240501-174641.png
    550.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240501-194449.png
    577.3 KB · Views: 1
Hawana uwezo wa kumpeleka polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…