Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Hapa unawachafua uliowaweka picha zao. Hawahusiki na hiyo mikopoHao ndio miongoni mwa matapeli. Chama chao kinawaangaliatu. Polisi haina hata habari. Watu wapaze sauti dhidi ya matapeli makausha damu