TCRA, nawaombea msamaha Wasafi TV

Unapo zungumzia waandishi habar, Gigy Ni mwandishi?? Yule Ni msanii ambae alikodiwa tu kwenye tamashaTCRA iangalie upya adhabu yao
 

Lile ni tamasha bos hebu chukulia kama lisingekuwa limeandaliwan wasafi bali wau binafsi halaf tv zote za burudani zikawa zinaonesha live wasafi/clouds/tve halaf gigy akafanya vile je tcra wangefungia tv zote? No wangefungia tamasha

Gigy aliingia na dera hakuna aliyetarajia atalivua na kumwaga radhi

Wasafi tv hawana kosa ila tamasha ndo lina makosa boa

Ahsante kwa kuhis uwezo wangu wakufikiri mdogo[emoji120]
 
Unapo zungumzia waandishi habar, Gigy Ni mwandishi?? Yule Ni msanii ambae alikodiwa tu kwenye tamashaTCRA iangalie upya adhabu yao
Gigy alikuwa pale kama muajiriwa wa wasafi na ndo maana kosa kafanya gigy ila walio adhibiwa ni wasafi
 
Mimi nashauri waongeze adhabu. WCB wamezidi uhuni na kupromote wasanii malaya. Sio siku nyingi walifungiwa kwa lugha za matusi,hawajifunzi?
Nachojiuliza ni kwamba viongozi waliokuwa backstage kabla ya giggy kupanda jukwaani hawakuona Kama kavaa nusu uchi paka wakasubiri yote yale yatokeeeee!!!!? Au ndo tunapigwa kiini macho tu!!!
 
Gigy alikuwa pale kama muajiriwa wa wasafi na ndo maana kosa kafanya gigy ila walio adhibiwa ni wasafi
Ubaya wa wale watu uwa wanalewa pamoja pombe zikiisha ndo wanatakumbuka makosa waloyafanya jana wakati wamelewa😁😁😁
 
Umeuliza na kujijibu mwenyewe, kwanini unadhani kama tv zote zingeonyesha maudhui hayo yanayokiuka taaratibu, miongozo na desturi za urushaji matangazo kuwa TCRA isinge ziadhibu ? Kituo kimeadhibiwa kwa kukiuka miongozo ya urushaji matangazo.
 
Walipaswa kukata urushaji mara baada ya kuona halifai kurushwa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mbona bado ipo hewani?
Adhabu inaanza lini? Au Mheshimiwa katoa tamko?
 
Kisheria unawezaje kuitenganisha wasafi festival na wasafi tv!

GIGY money aliingia mkataba na wasafi festival au wasafi tv!?

Wewe uliyeingia mkataba na. GIdy feza ndiye utawajibika kwa shortcomings za msanii wako wakati wa utekelezaji wake wa majukumu chini ya uangalizi wako.

Sisi tutajuaje..labda yeye kuanika dimwazi ilikuwa ni sehemu ya Terms of Engagement...

Hili liishe .. its fair maana kanuni zipo na adhabu hii sio tamko... Ipo kisheria.

Vet people you associate with.. kudos TCRA
 
Unataka kuwaaminisha wtz kuwa walioshoot na kurusha picha ya gigy walifanya hivyo kwa bahati mbaya 🤣

Damn
 
Wakifanya hivyo huoni itakuwa double standard? Yapo magazeti yamefungiwa kwa mda usiojulikana,kama ilivyo wasafi TV yale magazeti pia ni uwekezaji wa watanzania na yaliajiri watanzania ambao bila shaka pia waliathirika na hatua hizo.Mimi nadhani vitendo vyovyote vya utovu wa maadili hasa kwenye media vinasitahili adhabu kali.
 
Nakazia.
 
Bado kule kwenye mabasi ya abiria yaendayo mikoani TCRA ni muhimu pia kufuatilia kuna upuuzi mwingi unaendelea.Unakuta wameweka nyimbo za kihuni bila kujali kuna watu wanasafiri na watoto wadogo,wakwe na hata mama zao.Just imagine umekaa siti mmoja na binti yako Mara wanaweka vedeo za wasichana wako nusu uchi wanacheza kimalaya unajisikiaje? Ina maana hili hawalifahamu?
 
Je wewe ni mwajiriwa pale?
Waliofungiwa completely ni wengi sana!, waliofungwa maisha magerezani wapo.
Nashangaa sana kuona mtu anatetea waonyesha pono.
 
Tatizo sio bakwata in wabunge wanaopitisha sheria hizi.....tulia kwanza dawa iingie
Mkuu hapa tunazungumzia basata na sio bakwata.
Acha kuvua chupi mchumba bado hajafika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…