Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
🖐🏼TenaMimi nashauri waongeze adhabu. WCB wamezidi uhuni na kupromote wasanii malaya. Sio siku nyingi walifungiwa kwa lugha za matusi,hawajifunzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🖐🏼TenaMimi nashauri waongeze adhabu. WCB wamezidi uhuni na kupromote wasanii malaya. Sio siku nyingi walifungiwa kwa lugha za matusi,hawajifunzi?
Unapo zungumzia waandishi habar, Gigy Ni mwandishi?? Yule Ni msanii ambae alikodiwa tu kwenye tamashaTCRA iangalie upya adhabu yaoWasafi walishapigwa onyo na faini kwa mambo hayo hayo "kipindi cha woman matters", wakaja wakafungiwa week moja kwa sababu ya mambo hayo hayo "inshu ya babalevo" sahivi wamerudia Tena kosa.
Siwachukii wasafi ila hiyo adhabu ni msamaha tosha, walistahili zaidi ya adhabu hiyo waliopewa
Note: watu wanatumia zaidi ya miaka >2 chuoni kusomea uandishi wa habari kwa hiyo uandishi wa habari sio kazi rahisi kiasi hicho
Mkuu uniwie radhi lakini ukweli ni kwamba una uwezo mdogo wa kufikiri sana.
Chombo cha habari kinaadhibiwa kwa maudhui kinayorusha kwa umma bila kujali kilikoyapata.
Chombo kinapaswa kuchuja habari ili ziendane na sheria,mila na desturi za jamii husika.
Kwa akili yako hiyo itakuwa sahihi pia kama runinga fulani ikionesha video za x ili mradi tu wao walialikwa kwenye tukio husika na sio waandaaji
Gigy alikuwa pale kama muajiriwa wa wasafi na ndo maana kosa kafanya gigy ila walio adhibiwa ni wasafiUnapo zungumzia waandishi habar, Gigy Ni mwandishi?? Yule Ni msanii ambae alikodiwa tu kwenye tamashaTCRA iangalie upya adhabu yao
Nachojiuliza ni kwamba viongozi waliokuwa backstage kabla ya giggy kupanda jukwaani hawakuona Kama kavaa nusu uchi paka wakasubiri yote yale yatokeeeee!!!!? Au ndo tunapigwa kiini macho tu!!!Mimi nashauri waongeze adhabu. WCB wamezidi uhuni na kupromote wasanii malaya. Sio siku nyingi walifungiwa kwa lugha za matusi,hawajifunzi?
Ubaya wa wale watu uwa wanalewa pamoja pombe zikiisha ndo wanatakumbuka makosa waloyafanya jana wakati wamelewa😁😁😁Gigy alikuwa pale kama muajiriwa wa wasafi na ndo maana kosa kafanya gigy ila walio adhibiwa ni wasafi
Umeuliza na kujijibu mwenyewe, kwanini unadhani kama tv zote zingeonyesha maudhui hayo yanayokiuka taaratibu, miongozo na desturi za urushaji matangazo kuwa TCRA isinge ziadhibu ? Kituo kimeadhibiwa kwa kukiuka miongozo ya urushaji matangazo.Lile ni tamasha bos hebu chukulia kama lisingekuwa limeandaliwan wasafi bali wau binafsi halaf tv zote za burudani zikawa zinaonesha live wasafi/clouds/tve halaf gigy akafanya vile je tcra wangefungia tv zote? No wangefungia tamasha
Gigy aliingia na dera hakuna aliyetarajia atalivua na kumwaga radhi
Wasafi tv hawana kosa ila tamasha ndo lina makosa boa
Ahsante kwa kuhis uwezo wangu wakufikiri mdogo[emoji120]
Walipaswa kukata urushaji mara baada ya kuona halifai kurushwaGigy alifanya makosa kwenye show ya wasafi festival ma sio kwenye tv ya wasafi hivyo iliyopaswa kufungwa ni ile show
Gigy angekuwa amealikwa kwenye kipind chochote kinachorushwa na wasafi tv halaf akaharibu ndo wagepaswa kufungia tv
Tcra wamekurupuka
Kisheria unawezaje kuitenganisha wasafi festival na wasafi tv!Lile ni tamasha bos hebu chukulia kama lisingekuwa limeandaliwan wasafi bali wau binafsi halaf tv zote za burudani zikawa zinaonesha live wasafi/clouds/tve halaf gigy akafanya vile je tcra wangefungia tv zote? No wangefungia tamasha
Gigy aliingia na dera hakuna aliyetarajia atalivua na kumwaga radhi
Wasafi tv hawana kosa ila tamasha ndo lina makosa boa
Ahsante kwa kuhis uwezo wangu wakufikiri mdogo[emoji120]
Wakifanya hivyo huoni itakuwa double standard? Yapo magazeti yamefungiwa kwa mda usiojulikana,kama ilivyo wasafi TV yale magazeti pia ni uwekezaji wa watanzania na yaliajiri watanzania ambao bila shaka pia waliathirika na hatua hizo.Mimi nadhani vitendo vyovyote vya utovu wa maadili hasa kwenye media vinasitahili adhabu kali.Serikali ioneeni huruma hii kampuni.
Kuna wawekezaji Watanzania walioweka mitaji yao hapo na kutoa ajira kwa Watanzania, ina wanyakazi wanaoendesha maisha yao na familia zao kupitia hapo, kodi zilipwazo Serikalini hvyo kuifungia kampuni ni kuumiza huo mnyororo tajwa hapo juu
Kama inawezekana wapunguzieni ukubwa wa adhabu au wapigwe hata faini, lakini total ban for 6 months ni parefu sana
Hvyo nami naungana na mleta mada kuwaombea msamaha WASAFI TV,
TCRA waoneeni huruma vijana HAWA mtaumiza biashara na maisha ya hawa wafanyakazi kwa ujumla
Nakazia.Wafungiwe tu wanatoka sana nje ya maadili huwa naangaliaga kile kipindi cha magazeti cha kina Zembwela na Maulid Kitenge yani wanasoma magazeti kipuuzi kabisa. Na sijui huwa wanafanyaje interview zao mana katika mazingira ya kiwaida mimi nisingeweza kumuajiri mtu kama Zembwela au Baba Levo. Na watu waache ushabiki kwenye hili sababu tu moja ya wamiliki wa Wasafi ni Diamond NOOOOOOO kuna vyombo vingi sana tena vimefutwa kabisa
Mkuu hapa tunazungumzia basata na sio bakwata.Tatizo sio bakwata in wabunge wanaopitisha sheria hizi.....tulia kwanza dawa iingie