CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Miaka 10 mingi mno inaweza kuwa kabla ya December mwaka huu!Mimi CCM lakini nakuhakikishia siku za chama tawala madarakani zinahesabika. Trust me hakina zaidi ya miaka 10 unless something dramatic happens.
Mbona sioni, ill-motive kwenye barua/tangazo hili?
Sawa. Utaikumbuka hiiRubbish, acha kutisha watu. CCM ni chama kinachojitambua mno. Hata baada ya miaka 10,still kutakuwa na vyuma vingine vikali kuliko JPM. Watanzania hawawezi wapa saccos uongozi wa nchi hii, take it or leave it.
Yehodaya .
U communist haututoi mrisi zaidi ya kuwakandamiza tu wananchi . Miaka mitano mnajinasibu kukubalika . Mbona uoga kupita kiasi ?!
Sijaona wanaposema kuomba kibali kwanza bali kuifahamisha tume.
Sidhani kama watu wameshabashiri nini kitafuata baada ya huu uchaguzi.
Sijui kwa nini ccm wanamwogopa sana Lissu
Ccm ni janga zaidi ya COVID-19Sijui kwa nini ccm wanamwogopa sana Lissu
Mimi nilikuwa ccm damu lakini nikang'amua wanaipeleka Nchi kubayaMimi CCM lakini nakuhakikishia siku za chama tawala madarakani zinahesabika. Trust me hakina zaidi ya miaka 10 unless something dramatic happens.
Iweke hapa tuione, tafadhali kama ipo ivo unavyosemaSheria Hiyo haijatungwa Leo ni ya siku nyingi media wanaijua.TCRA wanakumbushia tu.Huo ni wajibu wa media wenyewe sio vyama ya siasa
Media zinazojielewa walishaomba hivyo vibali siku nyingi baada ya kupewa ratiba na wahusika wataka live