GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yawezekana nchi ya 'Malawi ya Kaskazini' kwa sasa ikawa inaongozwa na 'Kiongozi' aliyefuzu Kozi zote Kuu mbili duniani za Ukatili na Unafiki sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukio la dharura ijulishe TCRA:
Aina ya tukio na mahali litakapotokea/adhimishwa
Muda wa kuanza na kumalizatukio (kama unafahamika)
HIYO NI DHARURA??
Hapo wamechemka, yaani jengo linawaka Moto mnachukua makamera mnaenda kwenye computer mnaanza kutuma E-mail mnangoja majibu ndo mrushe matangazo!Kwahio mfano limetokea tukio ghafla..., jengo hapo town linawaka moto...., inabidi kwa haraka sana nitume barua pepe kwa TCRA halafu ningoje mrejesho kabla sijaingia mubashara kuwahabarisha watu...., ila kwa bahati mbaya moto ushazimika.....
Haya ni maigizo kama kampuni ina leseni na wataalamu wa tasnia husika, basi ni vema kwa hii Taasisi kuwaachia wenyewe hao wataalamu sababu wanajua nini cha kufanya kulingana na utaalamu wao....
Ccm dole la Kati limekaa mahari pake,kila Chadema,wakisukuma,ccm mimacho inamtoka,
Wamesema matukio ya dharura unaandika email na wametoa hizo email, hujui kusoma vizuri?Umeambiwa matukio ya ki calendar sio impromptu!!
Kampeni za uchaguzi mfano ni matukio yenye calendar kabisa ndiyo yanaongelewa au scheduled interview
Uchaguzi wa mwaka huu sioni kama kuna jipya ukizingatia hakuna tume huru ya uchaguzi, na waneanza kuminya malema saba, nadhani mikakati yao ni kuminya zaidi especially katika siku za uchaguzi
Sheria ndivyo inavyotaka
Wanakumbushwa tu wasije jisahau wakafungiwa na kutozwa faini
Mbona sioni, ill-motive kwenye barua/tangazo hili?
Majibu mengne dag😀😀Sheria Hiyo haijatungwa Leo ni ya siku nyingi media wanaijua. TCRA wanakumbushia tu.Huo ni wajibu wa media wenyewe sio vyama ya siasa
Media zinazojielewa walishaomba hivyo vibali siku nyingi baada ya kupewa ratiba na wahusika wataka live