Nyama nikanunue buchani kwa hela yangu halafu niambiwe uile iishe leo leo kabla ya saa 6 usiku, la sivyo nitaifuata hata kama umeiweka kwenye jokofu. Nyambafu, shwaini.Muangalie na swala la muda hela yangu halafu napangiwa muda wa matumizi yaniiii...👊👊
Najiulza hizo chaneli za bure ni zipi kwangu natumia dstv ata startv siioniKwa upande wa Ving'amuzi startimes upande wa Dish havionekani hivyo vya bure, maelezooo mengiii eti ongeza pesa ndiyo uone! shubamitii🙁🙁
Kweli kabisa.Ndugulile atatumbuliwa!Nia ya Magufuli kuunda wizara hii mpya siyo hiyo bali ni kugandamiza uhuru wa kujieleza pamoja na habari hapa nchini
Kuna ng'ombe zimeshaanza kukereka mkuu..😂Nyama nikanunue buchani kwa hela yangu halafu niambiwe uile iishe leo leo kabla ya saa 6 usiku, shwaini.
Na kweli.Kuna ng'ombe zimeshaanza kukereka mkuu..😂
Miezi hiyo3 ndo ya waziri kupiga dili....baada ya hapo ndo basi tena...muamala ukisoma basiWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.
Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli tano za bure za runinga zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana. Amedai baadhi ya chaneli hizo hazionekani kwenye baadhi ya ving’amuzi.
Kuna mwanaharakati mmoja alivuma sana kuwa anawapeleka mahakamani, sijui aliishia wapi? Labda waliyamaliza nje ya mahakama..!!!.Tutashangaa inapita miezi mitatu na hali ikabaki hivihivi au ikawa mbaya zaidi.
KitongaaaaaMiezi mitatu yote hiyo waziri kuwa serious basi
Hata mimi nashangaa yule jamaa sijui aliishia wapi na kesi yake.Kuna mwanaharakati mmoja alivuma sana kuwa anawapeleka mahakamani, sijui aliishia wapi? Labda waliyamaliza nje ya mahakama..!!!.
Wana deal na makosa ya mitandaoni tu.Kwani siku zote hao TCRA wako wapi?
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.
Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli tano za bure za runinga zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana. Amedai baadhi ya chaneli hizo hazionekani kwenye baadhi ya ving’amuzi.
Tena angewapa mwaka kabisaMiezi mitatu yote hiyo waziri kuwa serious basi
Mkuu kwani we hupendi misambwanda [emoji23][emoji23]Wewe akili yako ni kule mmu kujadili miswambwanda sio huku
Mimi ni mmojawapo wa wahanga wa bando kuisha muda wake wakati halijatumikaWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.
Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli tano za bure za runinga zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana. Amedai baadhi ya chaneli hizo hazionekani kwenye baadhi ya ving’amuzi.
Waanze na airtel toka juz usiku mtandao wao chenga si internet, si sms, muda mwingi unasoma emergency halafu msg zao za promotion wanaendelea kutuma wakati watu tuna vifurushi lakini hakuna kinachofanyika.Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti...