TCRA yapewa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi

TCRA yapewa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi

Kwa upande wa Ving'amuzi startimes upande wa Dish havionekani hivyo vya bure, maelezooo mengiii eti ongeza pesa ndiyo uone! shubamitii🙁🙁
Najiulza hizo chaneli za bure ni zipi kwangu natumia dstv ata startv siioni
 
Tutashangaa inapita miezi mitatu na hali ikabaki hivihivi au ikawa mbaya zaidi.
 
Ndugulile atatumbuliwa!Nia ya Magufuli kuunda wizara hii mpya siyo hiyo bali ni kugandamiza uhuru wa kujieleza pamoja na habari hapa nchini
Kweli kabisa.
Nia ya yeye kuwekwa pale sio haya mambo anayoyafuatilia.

Anatakiwa awakamate wakenya wote na kuwapiga fine mabilions.
Ma CEO wote wa kigeni wapigwe jamba jamba .

Na amtafute kigogo2014
 
Yani Hawa jamaa sijui wanashida gani!
Yani vocha wala bando zao hazipatikani kabisa hata ukiwa maeneo ya karibu na ofisi zao [emoji18][emoji57]

Yani Eti ufanye kununua kupitia mitandao mingine ndipo ufanye kuhamishia TTCL sasa tabu yote hiyo ya nini?

Habari Eti mnatoa gawio serikalini ili hali huduma zenyu zinamatatizo chungu nzima [emoji108][emoji108]
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.

Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli tano za bure za runinga zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana. Amedai baadhi ya chaneli hizo hazionekani kwenye baadhi ya ving’amuzi.
Miezi hiyo3 ndo ya waziri kupiga dili....baada ya hapo ndo basi tena...muamala ukisoma basi
 
Voda wanatabia ya kuchua salio bila kujua limekatwa kwa sababu gani?, unaweka elfu mbili ukikaa siku hata tatu unakuta kuna mia saba na ujatumia kifurushi unacho ukifatilia maelezo hayaeleweki.
 
Tutashangaa inapita miezi mitatu na hali ikabaki hivihivi au ikawa mbaya zaidi.
Kuna mwanaharakati mmoja alivuma sana kuwa anawapeleka mahakamani, sijui aliishia wapi? Labda waliyamaliza nje ya mahakama..!!!.
 
Yani nawekewa muda(limitation) ya kutumia bando.Kwanini lisiishe kulingana na matumizi yangu?

Dstv wataweka hizo channel za bure?serikali haiwawezi hawa watu
 
Dawa,,DSTV itaifishwe pamoja na voda maana hawa wamezidi,,
 
Mbona miezi mingi hivo kwani wanasafiri kuwafuata mbali! Mawasiliano si wanayaona Kila siku
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.

Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli tano za bure za runinga zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana. Amedai baadhi ya chaneli hizo hazionekani kwenye baadhi ya ving’amuzi.
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.

Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli tano za bure za runinga zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana. Amedai baadhi ya chaneli hizo hazionekani kwenye baadhi ya ving’amuzi.
Mimi ni mmojawapo wa wahanga wa bando kuisha muda wake wakati halijatumika
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti...
Waanze na airtel toka juz usiku mtandao wao chenga si internet, si sms, muda mwingi unasoma emergency halafu msg zao za promotion wanaendelea kutuma wakati watu tuna vifurushi lakini hakuna kinachofanyika.
 
Back
Top Bottom