kashakambajile
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 219
- 214
Muda wa maongezi kwanzia saa nne USIKU Hadi saa kumi na mbili asubuhi kwenye bando ni wa lazima? Hapa Kuna ufisadi maana muda huo WENGI tunakuwa TUMELALA.iwe ni hiari ya mnunuzi sio kulazimishwa taf mh.Waziri pitia na hukoWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti....
Ko we unazan huu wizi unaolalamikiwa ni wa leo??Unadhani corporate issue zinafanyika rapid kishkaji tu.?
Hizo Channel 5 mara waseme 6 ni zipi? Continental cha Sahara Media wanatoa zote 3 na Radio zake za IPP Media lakini mara chache sana wanatoa yao hiyo moja na Radio zao mbili Africa na Kiss FM.Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti.
Pia, Waziri Ndugulile ameiagiza TCRA kuhakikisha chaneli tano za bure za runinga zinazotakiwa kuonekana hata baada ya malipo ya king'amuzi kuisha zinaonekana. Amedai baadhi ya chaneli hizo hazionekani kwenye baadhi ya ving’amuzi.
Wewe miezi mitatu yote serious mbona ni kama ndugai na wale akina mdee covid-19Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea TCRA na kuipa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi kwani hawana imani na vifurushi vya intaneti....
Inaonesha unamuelewa Jiwe kuliko Ndugulile ambaye alimtumbua na kamrudisha tena,kama vp omba nafasi hiyo ufanye kazi vile Jiwe anavyotaka.Ndugulile atatumbuliwa!Nia ya Magufuli kuunda wizara hii mpya siyo hiyo bali ni kugandamiza uhuru wa kujieleza pamoja na habari hapa nchini
Jiongeze mkuu....Kwa upande wa Ving'amuzi startimes upande wa Dish havionekani hivyo vya bure, maelezooo mengiii eti ongeza pesa ndiyo uone! shubamitii🙁🙁