Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku Dar kwenda mikoani zinaondoka basi 400 zinaingia 400. Wataweza kukagua basi zote? TCRA hili zoezi ni ziiiito sana kwaoMikwara haisaidii wawaajiri makondakta kadhaa wawape mbinu
TCRA wanajaribu kuifufua Posta lakini kumbukeni kuna Plan A na B. Yaani sisi tunaiamini hesabu tu,njia tofauti jibu ni Moja. Posta mzigo unafika na kwenye Mabasi mzigo unafika. Acheni tuchague wenyewePosta ilishajifia. Naona TCRA wanajaribu kuifufua. Ukituma Posta mzigo unachukua siku tatu na zaidi, ila ukimpa konda wa basi ni siku hiyo hiyo bila usumbufu wowote.
TCRA tambueni zama zimebadilika, tafuteni vyanzo vingine vya mapato.
Ushauri mzuri sana huu. Siwezi kupeleka parcel kwa EMS Posta halafu ifike baada ya wiki nzima wakati nina uhakika nikituma parcel hio hio leo, keshokutwa asb inakuwa ishafika Bukoba ama Ngara.Posta ilishajifia. Naona TCRA wanajaribu kuifufua. Ukituma Posta mzigo unachukua siku tatu na zaidi, ila ukimpa konda wa basi ni siku hiyo hiyo bila usumbufu wowote.
TCRA tambueni zama zimebadilika, tafuteni vyanzo vingine vya mapato.
Kweli mkuuUshauri mzuri sana huu. Siwezi kupeleka parcel kwa EMS Posta halafu ifike baada ya wiki nzima wakati nina uhakika nikituma parcel hio hio leo, keshokutwa asb inakuwa ishafika Bukoba ama Ngara.
Kabisa. Walibebe hilo km ushauri wa kuwasaidiaWapambane kuhakikisha huduma za usafirishaji vifurushi kupitia kampuni letu la posta inaimprove na kuendana na uhalisia..
Kweli, mteja ndio aamue sio kumlazimisha atumie Posta. Ndugulile katumbuliwa sababu ya urasimu kama huo. Mama alisema TIC ndio iwe one stop centre yeye anapeleka Posta.TCRA wanajaribu kuifufua Posta lakini kumbukeni kuna Plan A na B. Yaani sisi tunaiamini hesabu tu,njia tofauti jibu ni Moja. Posta mzigo unafika na kwenye Mabasi mzigo unafika. Acheni tuchague wenyewe
Issue hapo sio kulazimishwa. Suala ni kama unataka kusafirisha vipeto lazima usajiliwe na Sheria inataka hivyo tujifunze kufuata sheria...sio unajisafirishia tu mizigo bila usajili...kwanza ni hatari kwa mtumaji mizigo kutumia kampuni ambayo haina leseni.Kweli, mteja ndio aamue sio kumlazimisha atumie Posta. Ndugulile katumbuliwa sababu ya urasimu kama huo. Mama alisema TIC ndio iwe one stop centre yeye anapeleka Posta.